-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia awasili Tehran katika ziara yake ya kwanza
Jun 17, 2023 15:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia Mwanamfalme Faisal bin Farhan leo amewasili Tehran kwa ziara ya kwanza tangu mataifa haya mawili yenye nguvu ya Magharibi mwa Asia yakubaliane kurejesha uhusiano baina yao kufuatia kusitishwa kwa miaka saba.
-
Tuhuma hizo kwa hizo na zisizo na msingi za Jamhuri ya Azerbaijan dhidi ya Iran
Feb 21, 2023 02:26Rais Ilham Aliyev wa Jamhuri ya Azerbaijan, kwa mara nyingine tena ametoa matamshi dhidi ya Iran bila kuonyesha nyaraka wala ushahidi wowote.
-
Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yafunguliwa rasmi mjini Tehran
Feb 19, 2023 05:02Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamefunguliwa rasmi Jumamosi alasiri mjini Tehran.
-
Jenerali wa Kizayuni akiri kuwa mkakati wa Israel dhidi ya Iran umegonga mwamba
Jan 02, 2023 07:13Mkuu wa zamani wa idara ya intelijensia ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa mkakati wa Tel Aviv dhidi ya Iran wa kutegemea vikwazo vikali vya kiuchumi na kuanzisha mpango wa kuzuia hujuma kupitia Marekani umeshindwa.
-
Waziri Mkuu wa Iraq kufanya ziara Tehran Jumatatu
Nov 27, 2022 02:55Vyombo vya habari vya Iraq vimetangaza kuwa Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu wa Iraq kesho Jumatatu atafanya ziara hapa mjini Tehran.
-
Mafuriko yameua watu tisa katika eneo la Firuzkuh, Tehran
Jul 29, 2022 10:11Mkuu wa Mkoa wa Tehran amesema watu tisa ameuawa kufuatia mafuriko usiku wa kuamkia Ijumaa katika wilaya ya Firuzkuh iliyo katika milima ya mashariki mwa Tehran na kuongeza kuwa watu wengine 16 hawajulikani waliko na wengine 13 wamejeruhiwa.
-
Taarifa ya mwisho ya mkutano wa Astana mjini Tehran: Hakuna suluhisho la kijeshi la mzozo wa Syria
Jul 20, 2022 06:55Katika taarifa ya mwisho ya kikao cha Astana mjini Tehran, Iran, Russia na Uturuki zimesisitiza kuwa, mzozo wa Syria hauna suluhisho la kijeshi na kueleza azma yao ya kuendeleza ushirikiano wa kupambana na ugaidi wa aina zote.
-
Rais Raisi amlaki rasmi Rais Erdogan wa Uturuki mjini Tehran
Jul 19, 2022 08:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemlaki rasmi Rais wa Uturuki katika Ikuluu ya Saad Abad hapa Tehran.
-
Vikao muhimu kufanyika katika safari ya Putin na Erdogan nchini Iran
Jul 14, 2022 10:36Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Ankara amedokeza kuwa kutafanyika vikao viwili muhimu mjini Tehran wiki ijayo ambavyo vitahudhuriwa na marais Vladimir Putin wa Russia na Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki.
-
Ayatullah Khatami: Marekani isubiri vipigo zaidi vya kudhalilisha vya Iran
Mar 25, 2022 14:27Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah ameashiria kugonga mwamba sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, Washington ijiandae tena kushindwa kunakodhalilisha na Iran mwaka huu.