-
Vikao muhimu kufanyika katika safari ya Putin na Erdogan nchini Iran
Jul 14, 2022 10:36Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Ankara amedokeza kuwa kutafanyika vikao viwili muhimu mjini Tehran wiki ijayo ambavyo vitahudhuriwa na marais Vladimir Putin wa Russia na Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki.
-
Ayatullah Khatami: Marekani isubiri vipigo zaidi vya kudhalilisha vya Iran
Mar 25, 2022 14:27Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah ameashiria kugonga mwamba sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, Washington ijiandae tena kushindwa kunakodhalilisha na Iran mwaka huu.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran akosoa ubaguzi wa nchi za Magharibi katika kadhia ya Ukraine
Mar 11, 2022 11:50Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amekosoa sera za kibaguzi za nchi za Magharibi za kuwatambua wazugu na watu weupe kutoka Ukraine kuwa ndio boza zaidi ya watu wa rangi nyingine na kusema hilo ni doa jeusi na la kufedhehesha.
-
Maandalizi ya mashindano ya 38 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yamekamilika
Feb 26, 2022 02:39Mkuu wa Idara ya masuala ya Qur'ani ya Shirika la Waqfu na Mambo ya Kheri amesema maandalizi ya mashindano ya 38 ya kimataifa ya Qur'ani yanayofanyika kila mwaka mjini Tehran yamekamilika.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran atoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 31, 2021 12:54Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, kama utawala haramu wa Kizayuni wa Israel utathubutu kufanya kosa dogokabisa, vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vitatoa jibu kali dhidi yake ambalo litakuwa ni la kuumiza.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran: Nchi za Ulaya zisitoe mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa ya utawala wa Kizayuni
Nov 26, 2021 11:19Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amezinasihi nchi za Ulaya kutotoa mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa na malengo haramu ya watawala wa Marekani na utawala haramu wa Israel.
-
Amir Abdolahian: Uhusiano wa Iran, China na Russia ni wa kiistratijia
Jan 26, 2021 11:10Mshauri Mkuu wa wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, uhusiano wa Tehran, Beijing na Moscow ni wa kiistratijia na kuongeza kuwa, uhusiano na nchi za dunia ambazo zilikuwa pamoja na wananchi wa Iran wakati wa hali ngumu umejengeka juu ya msingi na stratijia ya urafiki, ushirikiano na kuheshimiana.
-
Iran yaitaka IAEA iache pasipo na ulazima kueneza taarifa za shughuli zake za nyuklia
Dec 04, 2020 03:38Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao Vienna ametilia mkazo ulazima wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuacha, pasipo na ulazima, kueneza taarifa fafanuzi kuhusu shughuli zake za nyuklia.
-
Salehi: Wakala wa IAEA unapaswa kufanya kazi zake kwa uhuru
Aug 25, 2020 11:58Mkuu wa Taasisi ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) unapaswa kufanya kazi zake kwa uhuru na kusisitiza kuwa Iran haiko tayari kutekeleza masuala ambayo yako nje ya ahadi zake kimataifa.
-
Iran na Ukraine zasisitizia kutoingizwa siasa katika suala la kuanguka ndege ya Ukraine
Feb 11, 2020 07:59Katibu Mkuu wa Baraza la Uslama wa Taifa la Iran na Katibu Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Ukraine, kwa pamoja wamesisitiza kutoingizwa siasa katika faili la kuanguka ndege ya abiria ya Ukraine nchini hapa.