-
Zarif: Matamshi ya Trump kuhusu mashambulio ya kigaidi ya Tehran yanaudhi
Jun 08, 2017 11:05Dk. Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, matamshi ya rais wa Marekani, Donald Trump kuhusiana na mashambulizi ya kigaidi ya mjini Tehran ni kejeli kwa wahanga wa mashambulizi hayo na yanaudhi.
-
Kiongozi Muadhamu: Magaidi hawawezi kufua dafu mbele ya irada ya taifa la Iran
Jun 08, 2017 00:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alasiri ya jana alihutubia hadhara ya wanafunzi wa vyuo vikuu waliokwenda kuonana naye na kusema kuwa, mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika jana mjini Tehran hayawezi kutia doa katika irada na azma kubwa ya taifa na viongozi wa Iran.
-
Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran kufunguliwa
May 29, 2017 02:55Maonyesho ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yanaanza leo Alasiri katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini MA mjini Tehran.
-
Ayatullah Kermani apongeza ushiriki mkubwa wa wananchi wa Iran katika uchaguzi wa leo
May 19, 2017 11:54Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amepongeza ushiriki mkubwa wa wananchi katika upigaji kura wa uchaguzi wa rais leo na kusema kuwa, suala hilo ni jambo muhimu.
-
Ayatullah Kadhim Siddiqi: Uchaguzi ni alama ya uwezo na izza ya taifa la Iran
May 12, 2017 11:45Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran, amesema kuwa ushiriki wa wananchi wa Iran katika nyanja mbalimbali za kisiasa na katika uchaguzi ni dhihirisho la uwezo, izza na imani ya wananchi hao kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Kujitokeza kwa wingi Wairani katika upigaji kura kutawashangaza maadui
Apr 28, 2017 10:19Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran katika upigaji kura hapo Mei 19 ni jambo ambalo litawashangaza maadui na kuwapelekea wapoteze matumaini.
-
Nchi za Kiislamu zatakiwa kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina
Apr 26, 2017 22:16Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema Palestina itaweza kusaidika iwapo kutakuwa na umoja katika ulimwengu wa Kiislamu huku akitoa wito kwa nchi za Kiislamu kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina.
-
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho yaanza Tehran
Apr 18, 2017 22:00Duru ya pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Walemavu wa Macho yanaanza leo mjini Tehran yakiwashirikisha wawakilishi wa nchi 23.
-
Mkutano wa kusaka amani Syria unafanyika Tehran
Apr 17, 2017 23:22Mkutano wa wataalamu kuhusu mazungumzo ya amani Syria unafanyika leo mjini Tehran, Iran katika fremu ya mchakato wa amani wa Astana, Kazakhstan.
-
Kongamano la Kimataifa la Haki za Binadamu lafunguliwa Tehran
Apr 15, 2017 03:01Kongamano la Kimataifa la Kiislamu kuhusu Haki za Binadamu linafanyika hapa nchini Iran katika Chuo Kikuu cha Tehran.