Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tehran

  • Ayatullah Kermani: Kimya cha taasisi za kimataifa mbele ya ukiukwaji wa haki za binadamu kimeharibu hadhi ya taasisi hizo

    Ayatullah Kermani: Kimya cha taasisi za kimataifa mbele ya ukiukwaji wa haki za binadamu kimeharibu hadhi ya taasisi hizo

    Mar 17, 2017 12:54

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika jiji la Tehran amesema kuwa kimya cha taasisi za kimataifa mkabala na mauaji ya Waislamu duniani yakiwemo mauaji ya Waislamu wa Rohingya huko Myanmar na jinai za Saudi Arabia huko Yemen, kimezifanya taasisi hizo za kimataifa eti za kutetea haki za binadamu zipoteza heshima na hadhi yao.

  • Ayatullah Kermani: Kadhia ya Palestina; kipaumbele cha Iran na Ulimwengu wa Kiislamu

    Ayatullah Kermani: Kadhia ya Palestina; kipaumbele cha Iran na Ulimwengu wa Kiislamu

    Feb 24, 2017 10:37

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo katika mji wa Tehran amesema kuwa kadhia ya Palestina inapewa uzito katika siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ni kipaumbele cha Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Balozi wa Palestina Tehran: Tunaishukuru sana Iran kwa kuiunga mkono Paletina

    Balozi wa Palestina Tehran: Tunaishukuru sana Iran kwa kuiunga mkono Paletina

    Feb 23, 2017 10:07

    Balozi wa Palestina mjini Tehran sambamba na kuashiria umuhimu wa mkutano wa 6 wa kimataifa kwa ajili ya kuunga mkono Intifadha ya Palestina uliofanyika hapa mjini Tehran Jumanne na jana Jumatano, ambao uliionyesha dunia dhulma na ukatili wanaofanyiwa Wapalestina, amesema kuwa mkutano huo ulikuwa muhimu sana katika kufichua njama chafu za Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Palestina.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Makombora ya Iran ni dhihirisho la nguvu za taifa

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Makombora ya Iran ni dhihirisho la nguvu za taifa

    Feb 03, 2017 10:35

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema majaribio ya makombora yaliyofanywa hivi karibuni na majeshi ya Iran ni maonyesho ya nguvu za taifa hilo duniani.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa awasili Tehran

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa awasili Tehran

    Jan 31, 2017 03:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amewasili mjini Tehran akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi kwa shabaha ya kukutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Ayatullah Siddiqi: Utawala wa kifalme Bahrain umepoteza uhalali wake

    Ayatullah Siddiqi: Utawala wa kifalme Bahrain umepoteza uhalali wake

    Jan 20, 2017 12:34

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, kunyongwa vijana watatu Waislamu wa Kishia nchini Bahrain kumeufanya utawala wa kifalme wa nchi hiyo wa Aal Khalifa upoteze uhalali wake.

  • Mwakilishi wa Hamas Tehran: Iran ni muungaji mkono wetu pekee katika eneo

    Mwakilishi wa Hamas Tehran: Iran ni muungaji mkono wetu pekee katika eneo

    Jan 16, 2017 23:34

    Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) hapa Tehran amesema kuwa njia pekee ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kuendeleza muqawama na kwamba ishara ya wazi zaidi ya mapambano hayo ni Intifadha.

  • Ayatullah Khatami: Harakati ya Dei 19 ilikuwa nembo ya umoja wa taifa la Iran

    Ayatullah Khatami: Harakati ya Dei 19 ilikuwa nembo ya umoja wa taifa la Iran

    Jan 06, 2017 10:44

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, harakati ya Dei 19 iliyosadifiana na Januari 9 mwaka 1978 ulikuwa mwanzo wa hatua ya pili ya mapinduzi ya Kiislamu na nembo ya umoja wa taifa la Iran.

  • Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran aonya kuhusu jinai za Saudia, Bahrain

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran aonya kuhusu jinai za Saudia, Bahrain

    Dec 30, 2016 12:29

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameonya kuhusu mauaji na ukandamizaji unaofanywa na tawala za kikoo za Saudi Arabia na Bahrain dhidi ya mataifa ya Waislamu na kusema tawala hizo zinaelekea kusambaratika kutokana na jinai zao hizo.

  • Rais Rouhani: Kuwa na uhusiano wa karibu na majirani ni misingi ya sera za nje za Iran

    Rais Rouhani: Kuwa na uhusiano wa karibu na majirani ni misingi ya sera za nje za Iran

    Dec 23, 2016 23:38

    Rais Hassan Rouhani amesema moja ya misingi ya sera za nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuwa na uhusiano wa karibu na majirani hususan nchi za Asia ya Katina eneo la Kaukasia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS