-
Ayatullah Siddiqi: Kukombolewa Aleppo ni ushindi kwa Waislamu wote duniani
Dec 23, 2016 12:55Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amepongeza wanajeshi wa Syria na vikosi vya vya kujitolea vya wananchi kwa kuukomboa mji wa Aleppo (Halab) uliokuwa ukishikiliwa na magaidi huko kaskazini mwa Syria, na kubainisha kuwa, ushindi huo sio tu wa taifa la Syria bali ni ushindi pia kwa Waislamu wote duniani.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza Tehran
Dec 15, 2016 04:36Mkutano wa Kimataifa wa 30 wa Umoja kati ya Waislamu umeanza mapema leo mjini Tehran kwa kaulimbiu ya udharura wa kupambana na makundi ya kitakfiri.
-
Mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo mjini Tehran
Dec 15, 2016 01:59Duru ya 31 ya mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na shakhsia, wanazuoni na wanafikra kutoka nchi mbalimbali duniani.
-
Mkutano wa usalama waanza mjini Tehran
Dec 11, 2016 04:35Mkutano wa kwanza wa usalama umeanza kufanyika leo hapa mjini Tehran ukiwa na ajenda ya "usalama wa kieneo magharibi mwa Asia.
-
'Iran itatoa jibu kali baada ya Marekani kukiuka mapatano ya nyuklia'
Dec 02, 2016 12:43Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema hatua ya Bunge la Congress la Marekani kurefusha vikwazo dhidi ya Iran ni ukiukaji wa wazi wa mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita makubwa duniani.
-
Tehran: Njama za kuharibu usalama wa Iran zimefeli
Oct 30, 2016 12:12Kaimu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, njama zote za maadui za kuvuruga usalama wa Iran zimefeli.
-
Safari ya Mogherini Tehran, mashauriano kuhusu masuala ya kieneo
Oct 29, 2016 09:33Federica Mogherini Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya leo asubuhi amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu masuala ya pande mbili, matukio ya kieneo na kimataifa.
-
Kadhim Siddiqi: Taifa la Iran lilisimama imara mbele ya uchokozi na dhulma ya madola makubwa
Sep 23, 2016 10:32Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameeleza kuwa kurejesha amani na uthabiti katika eneo la Mashariki ya Kati kunategemea kuwepo vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ayatullah Khatami: Saudia ni chimbuko la magaidi wa Daesh (ISIS)
Sep 16, 2016 10:26Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema jinai za kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh au ISIS zinatokana na fikra za kuwakufurisha Waislamu ambazo zinatawala Saudi Arabia.
-
Zarif na Cavusoglu wajadili masuala ya kieneo
Aug 19, 2016 12:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Mevlut Cavusoglu Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran na Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwa muda wa masaa matano.