Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tehran

  • Ayatullah Khatami: Marekani na Saudia zinataka kulifufua kundi la kigaidi la MKO

    Ayatullah Khatami: Marekani na Saudia zinataka kulifufua kundi la kigaidi la MKO

    Aug 19, 2016 12:05

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa Tehran amesema kuliunga mkono kundi la kigaidi la Munafiqina ndio mpango mpya wa mabeberu na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya taifa la Iran.

  • Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran alaani jinai za Aal Saud nchini Yemen

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran alaani jinai za Aal Saud nchini Yemen

    Jul 29, 2016 12:04

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saud huko Yemen na kusema kuwa vitendo vya utawala huo vinakinzana na sheria za kimataifa na za Kiislamu.

  • Iran yatibua shambulizi la kigaidi dhidi ya Tehran

    Iran yatibua shambulizi la kigaidi dhidi ya Tehran

    Jun 20, 2016 02:34

    Vyombo vya usalama nchini Iran vimetibua njama ya kutekelezwa shambulizi la kigaidi hapa mjini Tehran na kuwatia mbaroni watuhumiwa kadhaa wa njama hizo za kigaidi.

  • Maadhimisho ya mwaka wa 27 wa kufariki dunia Imam Khomeini MA

    Maadhimisho ya mwaka wa 27 wa kufariki dunia Imam Khomeini MA

    Jun 03, 2016 10:23

    Sehemu ya umati mkubwa wa watu walioshiriki katika kumbukumbu ya mwaka wa 27 wa kufariki dunia Imam Khomeini MA zilizofanyika Ijumaa, Juni 3, 2016, katika haram ya mwasisi huyo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kusini mwa Tehran

  • Siku ya Afrika inaadhimishwa leo mjini Tehran

    Siku ya Afrika inaadhimishwa leo mjini Tehran

    May 25, 2016 03:01

    Sherehe za kuadhimisha Siku ya Afrika zinafanyika leo hapa mjini Tehran katika ofisi ya utafiti wa kisiasa na kimataifa ya Wizara ya Mambo ya Nje.

  • Vifaa vya tiba vya Iran vinauzwa katika nchi 44 duniani

    Vifaa vya tiba vya Iran vinauzwa katika nchi 44 duniani

    May 16, 2016 11:37

    Katibu wa Umoja wa Wasafirishaji Nje Vifaa vya Tiba vya Iran amesema kuwa, Tehran inauza vifaa vyake vya tiba kwa nchi 44 duniani.

  • Mkuu wa Sera za Nje wa EU awasili Tehran na ujumbe wa ngazi za juu

    Mkuu wa Sera za Nje wa EU awasili Tehran na ujumbe wa ngazi za juu

    Apr 16, 2016 03:00

    Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amewasili hapa mjini Tehran akiandamana na ujumbe wa ngazi za juu wa wanasiasa, wawekezaji na wafanyabiashara wa Ulaya katika safari inayolenga kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya Iran na EU.

  • Waziri Mkuu wa Italia awasili mjini Tehran

    Waziri Mkuu wa Italia awasili mjini Tehran

    Apr 11, 2016 23:56

    Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renzi amewasili mjini Tehran mapema leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi wa nchi yake.

  • Iran haitosalimu amri mbele ya madola ya kibeberu

    Iran haitosalimu amri mbele ya madola ya kibeberu

    Mar 25, 2016 11:21

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesistiza kuwa taifa la Iran halitosalimu amri mbele ya matakwa ya madola ya kibeberu.

  • Ayatullah Kermani: Vikosi vya ulinzi vijizatiti kwa silaha za kisasa

    Ayatullah Kermani: Vikosi vya ulinzi vijizatiti kwa silaha za kisasa

    Mar 18, 2016 13:25

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran Ayatullah Muhammad Ali Movahedi-Kermani amesema kuna ulazima wa vikosi vya ulinzi kujizatiti kwa silaha za kisasa kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya maadui.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS