- 
          Iran yazindua satalaiti 3 za Navak-1, Pars-1 iliyoboreshwa, na Pars-2Feb 02, 2025 11:17Iran imezindua satalaiti tatu mpya wakati wa hafla iliyofanyika leo Jumapili kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Anga za Mbali. 
- 
          Teknolojia ya Microsoft ya US yakumbwa na hitilafu na kuitikisa duniaJul 19, 2024 11:08Hitilafu kubwa ya kiteknolojia iliyotokea asubuhi ya leo Ijumaa imesababisha mashirika makubwa ya ndege duniani kusitisha safari zao, mabenki kushindwa kutoa huduma kwa wateja, vyombo vya habari vya kimataifa kushindwa kurusha matangazo yao pamoja na kusimama kwa huduma nyingine nyingi zinazoendeshwa kwa kutumia teknolojia. 
- 
          Iran ni namba moja Ulimwengu wa Kiislamu katika uzalishaji wa sayansi na teknolojiaJul 01, 2024 02:23Kwa mujibu wa hifadhidata ya kimataifa ya "Web of Science," Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ya sita duniani na ya kwanza kati ya nchi za Kiislamu katika uzalishaji wa sayansi na teknolojia ya mtandao wa neva. 
- 
          Tehran yalaani kauli 'ya kuingilia kati' ya Uingereza kuhusu satalaiti ya Nour 3Oct 05, 2023 08:03Iran imelaani vikali kauli ya "kiuingiliaji kati" ya serikali ya Uingereza kuhusu kurusha angani satalaiti mpya ya Nour 3 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. 
- 
          Tanzania yapata nafasi muhimu ya sayansi na teknolojia Umoja wa MataifaJan 19, 2022 02:57Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Kiuchumi na Kijamii, ECOSOC, Collen Vixen Kelapile ameiteua nchi ya Tanzania kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Jukwaa la Saba la Wadau Mbalimbali wa Masuala ya Sayansi, Teknolojia na Uvumbuzi katika kutekeleza Agenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa, SDGs. 
- 
          Iran kuanzisha kituo kikubwa zaidi cha Teknolojia nchini KenyaJan 23, 2021 05:06Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuanzisha kituo kikubwa cha ubunifu na teknolojia katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi ikiwa ni katika mkakati wa kuimarisha uhusiano wa nchi hizi mbili rafiki. 
- 
          Nchi za SADC kutumia satalaiti ya pamoja kwa ajili ya ustawiJan 15, 2020 02:51Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC imetangaza mpango wa kutuma angani kwa pamoja sataliti ili kuimarisha maendeleleo endelevu barani Afrika. 
- 
          Jitihada za Marekani za kuzuia maendeleo ya teknolojia ya ChinaDec 09, 2018 02:52Tangu alipochukua madaraka, Rais Donald Trump wa Marekani ameisababishia China changamoto mbalimbali. China inahesabiwa kuwa nguvu kubwa zaidi ya pili ya kiuchumi duniani. 
- 
          UN: Teknolojia za kisasa suluhisho la changamoto za kiuchumi, kijamii na kimazingiraMay 17, 2018 04:23Teknolojia za kisasa ni suluhisho katika kukabiliana na changamoto za kiuchumi, kijamii na kimazingira katika karne ya sasa ya 21. 
- 
          Iran kuongeza ushirikiano wake wa sayansi na teknolojia na nchi za KiislamuJun 02, 2016 04:07Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itapanua zaidi wigo wa ushirikiano wake katika masuala ya sayansi na teknolojia na nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC.