-
Maswali matatu makuu kuhusiana na uchaguzi wa Bunge wa Iraq
Oct 13, 2021 10:28Duru ya tano ya uchaguzi wa Bunge nchini Iraq imefanyika huku uchaguzi huo ukiibua maswali matatu makuu na ya kimsingi kuhusiana na uchaguzi huo.
-
Chama tawala Morocco chapigwa mweleka mkali, chaambulia viti 12 vya Bunge
Sep 09, 2021 11:46Chama kilichotawala kwa muda mrefu nchini Morocco kimepata pigo kubwa katika uchaguzi wa Bunge, kulingana na matokeo ya muda yaliyotangazwa na Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afriika.
-
Waethiopia wapiga kura katika uchaguzi muhimu wa Bunge
Jun 21, 2021 10:33Mamilioni ya wananchi wa Ethiopia mapema leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kwa ajii ya kuchagua wawakilishi wao katika Bunge la nchi hiyo, uchaguzi ambao umesusiwa na baadhi ya vyama vya upinzani.
-
Sababu na radiamali za kuakhirishwa uchaguzi wa Palestina
May 01, 2021 10:20Hatua ya Rais Muhmous Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuakhirisha uchaguzi wa nchi hiyo imekabiliwa na radiamali tofauti za makundi ya kisiasa ya Palestina.
-
‘Quds’, mhimili mkuu katika uchaguzi wa Bunge la Palestina
Apr 23, 2021 10:08Utawala wa Kizayuni wa Israel unajaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi wa Bunge la Palestina katika mji wa Quds (Jerusalem) hatua ambayo imekabiliwa na tahadhari kutoka kwa makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina.
-
Kuendelea mgogoro nchini Algeria; kususiwa uchaguzi wa Bunge na vyama vya siasa
Apr 07, 2021 02:34Mgogoro wa kisiasa nchini Algeria ungali unaendelea kufukuta kwani licha ya juhudi za serikali za kutuliza hali ya mambo na kuitisha uchaguzi wa Bunge wa mapema, lakini vyama vinne vya siasa vya nchi hiyo vimetangaza kususia uchaguzi huo.
-
Ushindi na utengano kwa wakati mmoja katika kambi ya mrengo wa kulia huko Israel
Mar 29, 2021 04:41Baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa Bunge huko Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) imefahamika kwamba, kwa mara nyingine tena kambi ya mrengo wa kuliai meibuka na ushindi katika uchaguzi huo.
-
Radiamali na sababu za pendekezo la kuakhirishwa uchaguzi wa bunge nchini Iraq
Jan 20, 2021 09:20Tume ya Uchaguzi nchini Iraq imetaka kuakhirishwa kwa miezi minne uchaguzi wa bunge wa nchi hiyo na badala ya kufanyika mwezi Juni, uitishwe mwezi Oktoba mwaka huu wa 2021.
-
Wapalestina wakaribisha tangazo la tarehe ya kufanyika uchaguzi mkuu
Jan 18, 2021 11:22Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametangaza kwamba uchaguzi mkuu wa bunge na rais wa mamlaka hiyo utafanyika katika hatua tatu tofauti. Amesema uchaguzi wa bunge utafanyika tarehe 22 Mei, wa rais Julai 31 na wa mabaraza ya miji tarehe 31 Agosti mwaka huu.
-
Radiamali mbalimbali kwa tarehe ya kuitishwa uchaguzi wa mapema wa Bunge nchini Iraq
Aug 03, 2020 03:12Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq ameitangaza tarehe 6 Juni ya mwaka ujao wa 2021 kuwa siku ya kufanyika uchaguzi wa mapema wa Bunge.