-
Uchaguzi wa rais Brazil waingia duru ya pili, Rais Bolsonaro kutoana kijasho na Lula da Silva
Oct 03, 2022 04:12Uchaguzi wa rais wa Brazil umeingia duru ya pili baada ya wagombea kushindwa kupata nusu ya kura zote za wananchi katika kinyang'anyiro hicho kilichofanyika jana Jumapili.
-
Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri la Macron, marekebisho yanayolenga kutafuta kukubalika na umma
May 21, 2022 22:27Mwezi mmoja baada ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini Ufaransa Emmanuel Macron Rais wa nchi hiyo akiwa na lengo la kutafuta uungaji mkono na kuwaridhisha wapigakura na hivyo serikalii yake iungwe mkono zaidi, amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri.
-
Wagombea 39 kuwania kiti cha urais nchini Somalia
May 11, 2022 21:51Wagombea wapatao 39 wamejitokeza kuwania kiti cha urais nchini Somalia uchaguzi ambao umepangwa kufanyika mwishoni mwa juma hili.
-
Changamoto za ndani na za nje za Macron katika duru ya pili ya urais nchini Ufaransa
Apr 26, 2022 22:08Kushinda tena Emmanuel Macron Rais wa Ufaransa katika uchaguzi wa Rais wa mwaka huu kumeibua maswali mengi kuhusiana na sababu hasa ya wananchi wa nchi hiyo kumpigia kura mwanasiasa huyo.
-
Macron ashinda uchaguzi wa rais wa Ufaransa
Apr 25, 2022 04:06Emmanuel Macron jana Jumapili, Aprili 24, alichaguliwa tena katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais kuiongoza Ufaransa, na hivyo kuchukua hatamu za nchi hiyo kubwa ya Ulaya kwa kipindi kingine cha miaka 5.
-
Uchunguzi wa maoni: Macron atashinda uchaguzi wa rais Ufaransa
Apr 23, 2022 07:53Matokeo ya uchunguzi wa maoni kuhusu duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa Ufaransa yaliyochapishwa hadi kumalizika kwa muda wa kisheria wa kampeni za wagombea wawili wa uchaguzi huo yameonesha kuwa Emmanel Macron atashinda kiti cha rais.
-
Macron na Le Pen waingia duru ya pili uchaguzi wa rais Ufaransa, ushiriki umepungua
Apr 11, 2022 07:20Rais anayemaliza muda wake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na mgombea mwenye siasa kali za mrengo wa kulia wa , Marine Le Pen wameongoza matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais wa Ufaransa uliofanyika jana Jumapili, na wakahamia duru ya pili kati ya hizi. uchaguzi uliopangwa kufanyika Aprili 24.
-
Umoja wa Mataifa waunga mkono kufanyika uchaguzi wa Libya katika wakati mwafaka
Dec 24, 2021 08:08Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amehimiza kufanyika uchaguzi mkuu wa Bunge na Rais katika tarehe mwafaka nchini Libya.
-
Uchunguzi: Wanasiasa waliojitokeza kuwania kiti cha rais 2022 hawana jipya kwa Wakenya
Jul 29, 2021 05:58Tathmini ya rekodi za kisiasa iliyofanyika huko Kenya inaonyesha kuwa wanasiasa wakuu wanne waliotangaza nia ya kuwania urais mwaka ujao hawana kipya cha kuwafaa Wakenya.
-
Rabei: Mahudhurio ya Wairani katika uchaguzi yametoa jibu la "hapana" kwa propaganda za kususiwa zoezi hilo
Jun 22, 2021 06:27Msemaji wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mahudhurio ya wananchi katika zoezi la kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji wa Ijumaa iliyopita yametoa jibu la "hapana" kwa waliotoa wito wa kususiwa zoezi hilo ambao kwa hakika wanashirikiana na maadui walioliwekea vikwazo taifa la Iran.