-
Ugiriki: Iran ni taifa linaloimarisha amani na usalama Mashariki ya Kati
Mar 18, 2016 04:37Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Ugiriki amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nchi muhimu ambayo inafanya juhudi kubwa za kuimarisha amani na usalama katika eneo la Mashariki ya kati.
-
Mchambuzi wa US: Saudia inaelekea kukumbwa na mgogoro wa kifedha
Mar 09, 2016 04:32Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya siasa wa Marekani amesema Saudi Arabia karibuni hivi itatumbukia katika mgogoro mkubwa wa kifedha.
-
Kiongozi alipongeza taifa la Iran kwa kushiriki kwa wingi katika chaguzi
Feb 28, 2016 23:03Kiongozi Muadhamu wa Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelipongeza taifa la Iran kwa kushiriki kwa wingi katika chaguzi mbili za siku ya Ijumaa.