-
Mwisho wa uwepo wa wanajeshi wa Ufaransa nchini Mali
Jul 03, 2022 23:41Sambamba na kuendelea kwa mvutano kati ya Ufaransa na Mali, hatimaye Paris imetangaza ukomo wa kuwepo kwa vikosi vya askari wa nchi za Ulaya vinavyojulikana kama Takuba, nchini Mali. Vikosi vya jeshi la Ufaransa vimekuwepo nchini Mali kwa takriban miaka 10 kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi.
-
Kuendelea mtikisiko katika soko la nishati, Russia yaikatia gesi Ufaransa
Jun 19, 2022 22:03Huku vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi kuwekewa Moscow, mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo la kujidhaminia nishati na kuongezeka gharama ya bidhaa hiyo muhimu.
-
Ufaransa yaendelea kuondoa wanajeshi wake nchini Mali
Jun 14, 2022 22:11Ufaransa imeendelea kuwaondoa wanajeshi wake nchini Mali, sambamba na kukabidhi kambi yake ya kijeshi ya Menaka kwa vikosi vya nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Mustakabali wenye giza wa Macron; uchaguzi wa Bunge Ufaransa waingia duru ya pili
Jun 14, 2022 21:42Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Bunge nchini Ufaransa yanaonyesha kuwa, hakuna muungano wowote uliofanikiwa kupata asilimia 50 ya viti na kwa muktadha huo uchaguzi huo umeingia duru ya pili.
-
Iran yajibu matamshi ya Ufaransa, Ujerumani kuhusu meli za mafuta za Ugiriki
Jun 01, 2022 05:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki.
-
Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri la Macron, marekebisho yanayolenga kutafuta kukubalika na umma
May 21, 2022 22:27Mwezi mmoja baada ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini Ufaransa Emmanuel Macron Rais wa nchi hiyo akiwa na lengo la kutafuta uungaji mkono na kuwaridhisha wapigakura na hivyo serikalii yake iungwe mkono zaidi, amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri.
-
Kufichuliwa jinai za Ufaransa baada ya kugunduliwa makaburi ya umati nchini Mali
May 17, 2022 04:38Kugunduliwa makaburi ya umati jirani na kambi ya jeshi ya Ufaransa nchini Mali kumezidi kuweka wazi siku baada ya siku ukubwa wa jinai za Wafaransa katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Kuendelea ukosoaji wa Algeria wa mauaji ya kinyama ya Ufaransa dhidi ya Waalgeria
May 10, 2022 04:26Licha ya kupita miongo kadhaa tangu Ufaransa ifanyye mauaji ya kinyama dhidi ya wananchi wa Algeria, lakini mafaili ya jinai hiyo yangali wazi na yanaweza kufuatiliwa.
-
Algeria kufuatilia jinai za Ufaransa nchini humo wakati wa ukoloni
May 09, 2022 06:27Rais wa Algeria amekosoa vikali mauaji ya kimbari yaliyotokelezwa dhidi ya taifa hilo na dola la kikoloni la Ufaransa na kuongeza kuwa, Algeria itafuatilia faili la jinai za Ufaransa nchini humo katika zama za ukoloni na kuwa haiko tayari kufanya muamala kuhusu kadhia hiyo.
-
Changamoto za ndani na za nje za Macron katika duru ya pili ya urais nchini Ufaransa
Apr 26, 2022 22:08Kushinda tena Emmanuel Macron Rais wa Ufaransa katika uchaguzi wa Rais wa mwaka huu kumeibua maswali mengi kuhusiana na sababu hasa ya wananchi wa nchi hiyo kumpigia kura mwanasiasa huyo.