-
Macron ashinda uchaguzi wa rais wa Ufaransa
Apr 25, 2022 04:06Emmanuel Macron jana Jumapili, Aprili 24, alichaguliwa tena katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais kuiongoza Ufaransa, na hivyo kuchukua hatamu za nchi hiyo kubwa ya Ulaya kwa kipindi kingine cha miaka 5.
-
Uchunguzi wa maoni: Macron atashinda uchaguzi wa rais Ufaransa
Apr 23, 2022 07:53Matokeo ya uchunguzi wa maoni kuhusu duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa Ufaransa yaliyochapishwa hadi kumalizika kwa muda wa kisheria wa kampeni za wagombea wawili wa uchaguzi huo yameonesha kuwa Emmanel Macron atashinda kiti cha rais.
-
Mali yagundua kaburi la umati kwenye kambi ya zamani ya kijeshi ya Ufaransa
Apr 23, 2022 02:56Jeshi la Mali limetangaza kuwa, limegundua kaburi la umati kwenye kambi ya zamani ya kijeshi ya Ufaransa katika eneo la Gossi la kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Le Pen awaahidi wapiga kura kupiga marufuku hijabu na kuchinja wanyama Kiislamu Ufaransa
Apr 13, 2022 21:54Mgombea urais wa Ufaransa kwa tikiti ya chama chenye siasa kali cha mrengo wa kuli, Marine Le Pen, amesema iwapo atashinda kiti cha urais, atapiga marufuku kuchinja wanyama kwa njia ya Kiislamu ya Kiyahudi, na vilevile vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, hijabu.
-
Duru ya pili ya uchaguzi Ufaransa; mchuano baina ya Macron na Le Pen
Apr 12, 2022 06:34Uchaguzi wa Rais nchini Ufaransa umemalizika huku Emmanuel Macron na Marine Le Pen wakiingia katika duru ya pili. Kwa utaratibu huo, siku 14 zijazo yaani tarehe 24 mwezi huu hatima ya uchaguzi huo itajulikana na mshindi wa duru hiyo atapata tiketi ya kuingia katika ikulu ya Elizeh.
-
Macron na Le Pen waingia duru ya pili uchaguzi wa rais Ufaransa, ushiriki umepungua
Apr 11, 2022 07:20Rais anayemaliza muda wake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na mgombea mwenye siasa kali za mrengo wa kulia wa , Marine Le Pen wameongoza matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais wa Ufaransa uliofanyika jana Jumapili, na wakahamia duru ya pili kati ya hizi. uchaguzi uliopangwa kufanyika Aprili 24.
-
Wananchi wa Burkina Faso waandamana kupinga uhusiano wa kijeshi na Ufaransa
Mar 28, 2022 06:37Wananchi wa Burkina Faso wamefanya maandamano ya kushinikiza kuhitimishwa uhusiano na ushirikiano wa kijeshi baina ya nchi yao na Ufaransa.
-
Ufaransa yakosolewa kwa kupiga mnada turathi yenye thamani ya Gabon
Mar 27, 2022 06:19Ufaransa imepuuza malalamiko ya wananchi na maafisa wa Gabon, na kwa jeuri imepiga mnada barakoa ya kitamaduni ya nchi hiyo ya Kiafrika kwa yuro milioni 4.2.
-
Ufaransa imeanzisha uchunguzi kuhusu Mkuu wa Interpol raia wa Imarati
Mar 25, 2022 03:41Baada ya mashirika ya kutetea haki za binadamu duniani kufichua hadharani jinai zinazofanywa na Mkuu wa Polisi ya Kimataifa (Interpol) ambaye ni raia wa Imarati; Idara ya Mahakama nchini Ufaransa imeanzisha uchunguzi kuhusu afisa huyo wa Intepol.
-
Zemmour: Nitawafukuza wahajiri wa Afrika nikichaguliwa kuwa rais wa Ufaransa
Mar 24, 2022 22:00Mgombea mwenye siasa kali za mrengo wa kulia katika uchaguzi wa rais wa Ufaransa, Éric Zemmour amesema atawafukuza malaki ya wahamiaji wa Kiafrika, iwapo atachaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo ya Ulaya mwezi ujao.