-
Hizi ndizo nchi zilizopinga Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia)
Mar 19, 2022 23:13Katika hatua muhimu, Umoja wa Mataifa wiki hii uliitambua rasmi Machi 15 kama Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu, lakini baadhi ya nchi zilichagua kutounga mkono azimio hilo.
-
Ufaransa na UK zalumbana kuhusu wakimbizi wa Ukraine
Mar 07, 2022 23:08Wimbi la wakimbizi wa Ukraine ambalo linahesabiwa kuwa ni la kasi kubwa zaidi barani Ulaya baada ya Vita vya Pili vya Duniani, limezitumbukiza nchi mbili za Ufaransa na Uingereza katika vita vya maneno na malumbano.
-
Waalgeria: Ufaransa ilipe fidia kwa hasara ilizotusababishia kwa majaribio yake ya nyuklia
Mar 03, 2022 04:24Wananchi wa Algeria wameitaka serikali ya Ufaransa ilipe fidia kwa hasara zilizosababishwa na majaribio yake ya nyuklia iliyofanya ndani ya nchi hiyo katika muongo wa 60 wa karne iliyopita.
-
Jihadul Islami yalaani madai ya Ufaransa na kusisitza kwamba, Quds ni mji mkuu wa Palestina
Feb 27, 2022 00:47Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imelaani vikali madai ya Waziri Mkuu wa Ufaransa kuhusiana na mji wa Quds na kuonya kuhusiana na matokeo mabaya ya madai hayo.
-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na Ufaransa sanjari na hatua muhimu za mazungumzo ya Vienna
Feb 20, 2022 08:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na Rais wa Ufaransa kwamba suala kuu litakalosaidia kufikiwa mapatano mjini Vienna ni kuhakikisha maslahi ya wananchi wa Iran yanalindwa hususan kuondolewa vikwazo, kupewa dhamana madhubuti na kufungwa mafaili ya madai ya kisiasa.
-
Ufaransa na washirika wake sasa kuondoa majeshi yao vamizi nchini Mali
Feb 17, 2022 09:52Ufaransa na washirika wake wametangaza kuwa, wataondoa askari wao wote kutoka katika nchi ya Mali iliyoko magharibi mwa Afrika.
-
Sisitizo la Ufaransa la kuendelea kuwepo eneo la Sahel
Feb 17, 2022 06:51Pamoja na kushuhudiwa mivutano hivi karibuni kati ya Ufaransa na baadhi ya nchi za eneo la Sahel barani Afrika ikiwemo Mali, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ufaransa Jean Yves Le Drian amesisitiza kuwa Ufaransa haitatoka katika eneo la Sahel hata kama itaondoa wanajeshi wake kikamilifu huko Mali.
-
Marine Le Pen ashambulia tena Uislamu na vazi la hijabu
Feb 17, 2022 04:34Mgombea uraisi wa Ufaransa wa chama cha kitaifa cha Rassemblement chenye siasa kali za mrengo wa kulia kwa mara nyingine ameeleza upinzani wake dhidi ya vazi la hijabu la wanawake wa Kiislamu.
-
Nchi za Ulaya zaendelea kuondoa wanajeshi wao 'vamizi' Mali
Feb 15, 2022 23:09Waziri wa Ulinzi wa Estonia amesema nchi hiyo ya kaskazini mwa Ulaya imekata shauri ya kuwaondoa wanajeshi wake nchini Mali, na hivyo kuwa nchi ya hivi punde zaidi ya Ulaya kuchukua hatua hiyo baada ya Denmark.
-
Ufaransa kuondoka Mali, yasema itasalia katika eneo la Sahel Afrika
Feb 15, 2022 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian ametangaza kuwa wanajeshi wa nchi hiyo wataendelea kupambana na kile alichokitaja kuwa 'ugaidi' katika eneo la Sahel na si nchini Mali.