-
Senegal yalalamikia kitendo cha Ufaransa cha kuanzisha safari za ndege za upande mmoja kuingia Dakar
May 15, 2020 21:58Rais Macky Sall wa Senegal amelaani kitendo cha shirika la ndege la Ufaransa kuanzisha safari za upande mmoja kuingia mjini Dakar, mji mkuu wa Senegal na kusisitiza kwamba, hadi sasa Ufaransa bado inazihesabu nchi za Afrika kuwa ni koloni lake.
-
Rais wa Algeria: Kupita zama hakuwezi kuifanya historia isahau jinai za dola koloni la Ufaransa
May 08, 2020 06:56Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amesema kuwa, nusu ya wakazi wa nchi hiyo waliuawa katika jinai kubwa ya umwagaji damu iliyofanywa na Ufaransa katika kipindi cha ukoloni; na kupita zama katu hakuwezi kufuta jinai hizo katika kurasa za historia.
-
Umoja wa Mataifa watakiwa uunge mkono usitishaji vita katika maeneo ya mapigano
May 06, 2020 20:09Nchi za Tunisia na Ufaransa zimelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuunga mkono na kuafiki azimio la kusimamisha vita haraka katika maeneo ya mapigano duniani kama sehemu ya vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.
-
Upinzani wa madola ya Ulaya kwa takwa la Marekani la kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Apr 30, 2020 07:35Moja ya vipengee muhimu katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran baada ya miaka mitano tangu kuanza kutekelezwa makubaliano hayo.
-
Mtaalamu wa Ufaransa alipua bomu, adai virusi vya corona vilitokana na jaribio la kutengeneza chanjo ya Ukimwi
Apr 18, 2020 22:07Mtazamo wa Profesa Luc Antoine Montagnier wa Ufaransa ambaye ni mmoja kati ya wavumbuzi wa virusi vya Ukimwi anayesema virusi vya corona vimetokana na makosa yaliyotokea kwenye maabara, umezusha mjadala mkubwa katika duru za wanasayansi.
-
Kampuni ya Total ya Ufaransa inatuhumiwa kueneza virusi vya Corona nchini Msumbiji
Apr 17, 2020 20:12Maafisa Afya wa Msumbiji wamesema kuwa kampuni ya mafuta ya Total ya Ufaransa imehusika kueneza maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.
-
Uwezekano wa kufungwa mipaka ya Umoja wa Ulaya kwa miezi mingine sita
Apr 13, 2020 05:27Rais wa Ufaransa ametahadharisha kuwa huenda mipaka ya nchi wanachama wa eneo la Schengen ikafungwa kwa miezi mingine sita ijayo.
-
Waziri wa Afya wa Ufaransa atahadharisha kuhusu kufikia kileleni mlipuko wa Corona
Apr 07, 2020 19:04Waziri wa Afya wa Ufaransa ametahadharisha kuwa nchi hiyo inakaribia kushuhudia kilele za mlipuko wa virusi vya corona.
-
Wasi wasi wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuendelea mapigano nchini Yemen, undumakuwili wa EU
Apr 01, 2020 05:11Tangu mwezi Machi 2015, Saudi Arabia iliunda muungano kwa kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kuanzisha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen na hadi sasa makumi ya maelfu ya raia wa nchi hiyo wameshauawa shahidi na kujeruhiwa.
-
Macron akiri kuwepo uhaba wa suhula za kitiba nchini Ufaransa
Mar 31, 2020 22:28Rais wa Ufaransa amesema kuwa nchi hiyo inakabiliwa na tatizo la kudhamini vifaa vya tiva vya dharura kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona.