-
Ufaransa na nchi nyingine 12 zakubaliana kuanzisha Takuba kukabiliana na ugaidi
Mar 29, 2020 05:09Ufaransa na nchi nyingine 12 zimekubaliana kuanzisha kikosi kipya kitakachopewa jina la Takuba kwa shabaha ya kukabiliana na makundi ya kigaidi katika eneo la Sahel barani Afika.
-
Mienendo ya kibaguzi dhidi ya Wachina yashuhudiwa Ufaransa kwa kisingizio cha Corona
Mar 09, 2020 23:10Hisia na mienendo ya kibaguzi sambamba na kuendelea kusambaa virusi vya Corona nchini Ufaransa, inaendelea kushika kasi kupitia njia tofauti.
-
Wanafunzi milioni 300 duniani wabakia majumbani baada ya shule kufungwa kutokana na virusi vya Corona
Mar 05, 2020 04:48Wanafunzi wapatao milioni 300 katika maeneo mbalimbali ya dunia wamelazimika kubakia majumbani kwa wiki kadhaa sasa kutokana na shule kufungwa kufuatia kuenea kwa virusi vya Corona.
-
Makumi ya raia wa Ufaransa wanapigana safu moja na magaidi nchini Syria
Mar 01, 2020 08:28Vyombo vya habari vya nchi za Magharibi vimetoa ushahidi unaooensha kuwa, kuna makumi ya raia wa Ufaransa wanaopigana bega kwa bega na magenge ya kigaidi nchini Syria.
-
Macron azidisha siasa zake dhidi misikiti na maimamu wa kigeni nchini Ufaransa
Feb 20, 2020 00:54Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametangaza hatua kadhaa za kuhitimisha mpango ambao ulikuwa ukiziruhusu nchi za nje kutuma nchini humo maimamu na walimu kwa ajili ya kutoa huduma za kidini bila ya kusimamiwa katika jitihada za kukabiliana na kile alichokitaja kuwa "hatari ya kujitenga."
-
Rais wa Ufaransa amjibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani akisema: Magharibi 'inadhoofika'
Feb 15, 2020 10:54Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amejibu madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani aliyotoa katika Mkutano wa Usalama wa Munich kwa kusema: Magharibi inadhoofika na kuporomoka.
-
Iran yakadhibisha madai ya Ufaransa kuhusu miradi yake ya anga za mbali
Feb 11, 2020 23:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali madai ya uingiliaji wa mambo ya ndani ya taifa hili yaliyotolewa na Ufaransa kuhusu miradi ya anga za mbali ya Tehran.
-
Polisi wa Ufaransa waimarisha mgomo wao
Feb 08, 2020 04:20Polisi wa kitengo cha 'teknolojia na elimu' nchini Ufaransa wameimarisha mgomo wao sawa na wafanyakazi wengine wa serikali katika kupinga mabadiliko ya sheria ya ustaafu nchini humo.
-
Ombi la Rais wa Ufaransa la kuangamizwa silaha za nyuklia
Feb 08, 2020 04:02Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, jana Ijumaa alitangaza uamuzi wa nchi yake wa kupunguza idadi ya silaha zake za nyuklia hadi chini ya vichwa 300 vya nyuklia.
-
Ufaransa yaendea kuingilia mambo ya ndani ya Afrika, yatuma mamia ya askari eneo la Sahel
Feb 02, 2020 10:16Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa ametangaza kuwa nchi hiyo itatuma wanajeshi wengine 600 katika eneo la Sahel barani Afrika, hatua ambayo imetajwa na wafuatiliaji wa mambo kuwa ni katika kuendeleza sera za mkoloni huyo wa zamani za kuzidisha ushawishi na satua yake barani humo.