Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Rais wa Ufaransa atoa amri ya kuchunguzwa nafasi ya Paris katika mauaji ya halaiki nchini Rwanda

    Rais wa Ufaransa atoa amri ya kuchunguzwa nafasi ya Paris katika mauaji ya halaiki nchini Rwanda

    Apr 06, 2019 21:57

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameipatia kamisheni moja ya nchi hiyo jukumu la kufuatilia iwapo Paris ilikuwa na nafasi katika mauaji ya halaiki ya muongo wa 90 nchini Rwanda au la.

  • Facebook, You Tube zashtakiwa kwa kurusha mubashara mauaji ya Waislamu New Zealand

    Facebook, You Tube zashtakiwa kwa kurusha mubashara mauaji ya Waislamu New Zealand

    Mar 26, 2019 03:07

    Baraza la Waislamu nchini Ufaransa (CFCM) limeifungulia mashitaka mitandao ya kijamii ya Facebook na You Tube kwa kurusha hewani mubashara mauaji ya kutisha ya Waislamu nchini New Zealand.

  • Mataifa mbalimbali yatuma salamu za pole na rambirambi kufuatia janga la mafuriko Iran

    Mataifa mbalimbali yatuma salamu za pole na rambirambi kufuatia janga la mafuriko Iran

    Mar 25, 2019 22:38

    Kufuatia mafuriko yaliyoikumba mikoa kadhaa ya Iran na kupelekea kwa akali watu 19 kufariki dunia na makumi ya wengine kujeruhiwa, balozi za nchi mbalimbali hapa Tehran zimetoa mkono wa pole kwa familia zilizopoteza ndugu zao walioaga dunia katika maafa haya ya mafuriko.

  • Mashirika ya kutetea haki za bindamu yaitaka Ufaransa isitishe mauzo ya silaha zake kwa Saudia

    Mashirika ya kutetea haki za bindamu yaitaka Ufaransa isitishe mauzo ya silaha zake kwa Saudia

    Mar 21, 2019 20:48

    Mashirika 12 ya Yemen na ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameitaka Ufaransa isitishe uuzaji wa silaha zake kwa Saudi Arabia, na kujishughulisha zaidi na mambo ambayo yatasaidia kukomesha vita dhidi ya Yemen.

  • Maandamano ya

    Maandamano ya "Vizibao vya Njano" yafanyika kwa wiki ya 18 Ufaransa

    Mar 17, 2019 01:13

    Maandamano ya vugu vugu la "Vizibao vya Njano" yameendelea katika mitaa ya mji mkuu wa Ufaransa, Paris na miji mingine ya nchi hiyo kwa wiki ya 18 mfululizo huku waandamanaji wakiyataja maandamano ya jana kuwa ya "Makataa."

  • Maandamano ya Vizibao vya Njano yafanyika kwa wiki ya 17 dhidi ya Macron, Ufaransa

    Maandamano ya Vizibao vya Njano yafanyika kwa wiki ya 17 dhidi ya Macron, Ufaransa

    Mar 09, 2019 11:39

    Maandamano ya wananchi wa Ufaransa ya kupinga siasa za serikali ya nchi hiyo mashuhuri kama maandamano ya harakatri ya Visibao vya Njano yamefanyika leo kwa wiki ya 17.

  • Serikali ya Ufaransa yalaumiwa ndani na nje ya nchi kwa kuingilia kijeshi mgogoro wa Chad

    Serikali ya Ufaransa yalaumiwa ndani na nje ya nchi kwa kuingilia kijeshi mgogoro wa Chad

    Feb 14, 2019 12:07

    Uingiliaji wa serikali ya Ufaransa katika mchakato wa kisiasa nchini Chad kwa madai na kisingizio cha kupambana na ugaidi umeibua wimbi la lawama na ukosoaji ndani ya nchi zote mbili.

  • Chuki dhidi ya Waisraeli yaongezeka kwa 74% nchini Ufaransa

    Chuki dhidi ya Waisraeli yaongezeka kwa 74% nchini Ufaransa

    Feb 12, 2019 23:02

    Serikali ya Ufaransa imesema vitendo na matamshi ya chuki dhidi ya Mayahudi wanaoishi katika nchi hiyo ya Ulaya yameongezeka kwa asilimia 74, rekodi ambayo haijawahi kushuhudiwa tena.

  • Mvutano usio wa kawaida wa kisiasa kati ya Ufaransa na Italia; ufa unaozidi kupanuka katika Umoja wa Ulaya

    Mvutano usio wa kawaida wa kisiasa kati ya Ufaransa na Italia; ufa unaozidi kupanuka katika Umoja wa Ulaya

    Feb 09, 2019 00:14

    Umoja wa Ulaya umekuwa ukikabiliwa na changamoto kadhaa katika miaka ya hivi karibuni na tofauti za mitazamo kuhusiana na jinsi ya kukabiliana nazo zimezidi kuongeza nyufa katika umoja huo.

  • Taarifa: Ufaransa ilifahamu njama za mauaji ya kimbari Rwanda

    Taarifa: Ufaransa ilifahamu njama za mauaji ya kimbari Rwanda

    Feb 07, 2019 19:08

    Shirika la Ujasusi la Ufaransa DGSE lilikuwa na taarifa za kiitelijensia kuhusu njama ya mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda, Juvenal Habyarimana, yaliyopelekea kuanza kwa mauaji ya kimbari nchini humo mwaka 1994.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS