-
Harakati ya Vizibao vya Njano nchini Ufaransa yakosoa vikali matamshi ya Rais Macron kuhusu Venezuela
Jan 26, 2019 10:42Harakati inayopinga mfumo wa kibepari nchini Ufaransa inayoitwa 'Harakati ya Vizibao vya Njano' imekosoa matamshi ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo kuhusiana na Venezuela.
-
Rais wa Ufaransa akosoa sera za Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 24, 2019 11:27Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema hatua ya Israel na kuzivamizi na kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina imeweka hatarini mazungumzo baina ya utawala huo na Palestina.
-
Bahram Qassemi: Iran itatoa majibu dhidi ya vitendo vya kiuadui dhidi yake
Jan 14, 2019 23:11Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itachukua hatua ya lazima na mwafaka mkabala na kitendo chochote kile cha kiuadui ambacho kitakuwa dhidi ya maslahi ya kitaifa ya Iran.
-
Maandamano ya harakati ya Vizibao vya Njano yaanza tena Ufaransa
Jan 12, 2019 10:10Wananchi wa Ufaransa wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakiendelea kupinga mfumo wa ubepari na sera za kiuchumi za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo.
-
Wafaransa waunga mkono harakati dhidi ya mfumo wa ubepari
Jan 10, 2019 03:56Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Ufaransa yanaonyesha kuwa akthari ya wananchi wa nchi hiyo wanaunga mkono harakati inayopinga mfumo wa ubepari.
-
Wabunge wenye asili ya Afrika Ufaransa watishiwa kuuawa
Jan 05, 2019 23:11Wabunge wenye asili ya Afrika nchini Ufaransa wametumiwa barua zenye vitisho kwamba watauawa huku vitendo vya kuwabagua Waafrika vikiripotiwa kuongezeka katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Vizibao vya njano na kuendelea siku ngumu zinazomkabili Macron nchini Ufaransa
Dec 24, 2018 08:27Sambamba na kuanza wimbi jipya la maandamano ya harakati iliyopata umaarufu kwa jina la "Vizibao vya Njao" nchini Ufaransa, Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo ametaka kusimamishwa mwenenendo huo na kurejeshwa utulivu nchini humo. Macron amesema kuwa umefika wakati sasa wa kurejeshwa amani, utulivu na mambo kurejea katika hali yake ya kawaida nchini humo na kutatuliwa hitilafu zilizopo.
-
Macron: Maandamano ya vizibao vya njano yasitishwe
Dec 23, 2018 23:23Sambamba na kuanza wimbi jipya la maandamano ya harakati iliyopata umaarufu kwa jina la Vizibao vya Njano nchini Ufaransa; Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo ametaka kusitishwa maandamano hayo na kurejeshwa hali ya utulivu nchini humo.
-
Daily Mail: Polisi wa Ufaransa watatumia silaha ya kemikali kuzima maandamano
Dec 18, 2018 23:20Gazeti la Daily Mail la Uingereza limefichua kwamba yumkini polisi ya Ufaransa ikatumia silaha ya kemikali kwa ajili ya kuzima na kudhibiti maandamano na ghasia zinazoendelea katikati ya jiji la Paris.
-
Mustakabali usiojulikana kuhusu maandamano ya wananchi Ufaransa
Dec 17, 2018 23:54Maandamano nchini Ufaransa yangali yanaendelea hata baada ya Rais Emmanuel Macron kulegeza msimamo na kukubali kupunguza ushuru wa petroli na kufanyika marekebisho ya sheria zinazohusu kustaafu wafanyakazi wa umma. Édouard Charles Philippe Waziri Mkuu wa Ufaransa amekiri kuwa serikali imefanya kosa katika kukabiliana na vugugu la wananchi wanaoandamana na haijawasikiza kama ilivyopaswa.