-
Waziri Mkuu wa Ufaransa akiri kupuuzwa matakwa ya wananchi
Dec 17, 2018 04:33Kufuatia maandamano ya wananchi wa Ufaransa wanaolalamikia matatizo ya kiuchumi na kuupinga mfumo wa kibepari nchini humo, Waziri Mkuu wa nchi hiyo amesema kuwa serikali imefanya makosa na haijatoa uzito wa kutosha kwa matakwa ya wananchi.
-
Machafuko ya Ufaransa yameshafika pia Uingereza
Dec 14, 2018 23:20Makumi ya watu wanaounga mkono maandamano ya wananchi wa Ufaransa wanaolalamikia matatizo ya kiuchumi na mfumo wa kibepari wamefanya maandamano mjini London Uingereza na kukwamisha shughuli za kila siku mjini humo.
-
Nusu ya Wafaransa hawakuridhishwa na ahadi za Rais wa nchi hiyo
Dec 11, 2018 12:13Nusu ya wananchi wa Ufaransa hawakuridhishwa na hotuba iliyotolewa na Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo aliyekuwa katika jitihada za kutuliza ghasia na machafuko makubwa ya Wafaransa wanaopinga ughali wa maisha na sera za kiuchumi za serikali ya sasa ya Paris.
-
Serikali ya Misri yaogopa kivuli chake, yapiga marufuku uuzaji wa 'vizibao vya njano'
Dec 11, 2018 03:51Serikali ya Misri imepiga marufuku uuzaji wa vizibao vya njano, ikihofia kuwa huenda wapinzani wakavitumia katika maandamano kama yale yanayoshuhudiwa nchini Ufaransa kwa zaidi ya wiki nne sasa.
-
Onyo la Jean-Yves Le Drian kwa Donald Trump: Acha kuingilia mambo ya ndani ya Ufaransa
Dec 09, 2018 23:30Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Ufaransa amemuonya Rais Donald Trump wa Marekani na kumtaka aache kuingilia masuala ya ndani ya Ufaransa.
-
Watu 1400 wakamatwa Ufaransa katika maandamano ya 'vizibao vya njano'
Dec 09, 2018 04:07Watu zaidi ya 1400 wamekamatwa kote Ufaransa huku polisi na wanajeshi wakipamabana na waandamanaji wanaojulikana kama waandamanaji wa Vizibao vya Njano, ambao wanaendeleza malalamiko kuhusu ughali wa maisha.
-
Mji wa Paris ni kama medani ya vita, polisi wapambana na waandamanaji
Dec 08, 2018 12:00Mji mkuu wa Ufaransa, Paris, leo umegeuka kuwa kama medani ya vita huku waandamanaji wanaojulikana kama 'waandamanaji wa vizibao vya njano, wakiendeleza malalamiko kuhusu ughali wa maisha.
-
Jeshi la Ufaransa laingia mitaani kukabiliana na maandamano ya wananchi, machafuko yanaendelea
Dec 07, 2018 00:57Maelfu ya wanajeshi wa Ufaransa wanapelekwa katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo hususan katika mji mkuu, Paris kwa ajili ya kukabiliana na waandamanaji wanaopinga siasa za kiuchumi za serikali ya Rais Emmanuel Macron.
-
Utafiti: Ubaguzi wa rangi umeongezeka duniani
Dec 05, 2018 12:55Taasisi kwa ajili ya Uchumi na Amani (IEP) imeeleza katika ripoti yake mpya kuwa, idadi ya waathirika wa vitendo vya ubaguzi wa rangi iliongezeka na takwimu za watu waliouawa kutokana na mashambulio ya kigaidi ilipungua katika mwaka uliopita wa 2017.
-
Kupinga Baraza la Seneti la Ufaransa ongezeko la ushuru wa fueli; kulegeza kamba mbele ya 'Harakati ya Vizibao vya Njano
Dec 04, 2018 21:39Kuendelea Harakati ya wananchi nchini Ufaransa inayojulikana kama ya Vizibao vya Njano ambayo ilianza nchini humo tangu Novemba 17 mwezi uliopita na kuitumbukiza nchi hiyo katika machafuko na malalamiko, kumewafanya viongozi wa Paris walegeze kamba na kukukubali baadhi ya matakwa ya harakati hiyo.