-
Asilimia 72 ya Wafaransa wanaunga mkono maandamano ya upinzani dhidi ya serikali ya Macron
Dec 03, 2018 23:41Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Ufaransa umeonyesha kuwa, zaidi ya theluthi mbili ya raia wa nchi hiyo wanaunga mkono maandamano ya karibuni ya kupinga sera za kiuchumi za serikali ya Rais Emmanuel Macron.
-
Maandamano makubwa ya wananchi Ufaransa, serikali ya Macron katika mgogoro mkubwa + Video
Dec 03, 2018 23:39Hali ya Ufaransa ni ya mgogoro hivi sasa kutokana na kushadidi malalamiko ya wananchi na serikali kutumia nguvu kupita kiasi kujaribu kukandamiza maandamano ya wananchi hao. Awali Rais Emmanuel Macron alikuwa ameng'ang'ani msimamo wake wa kutozungumza na waandamanaji, lakini hatimaye amelazimika kuruhusu mazungumzo.
-
Serikali ya Ufaransa yazidi kukandamiza raia wake + Video
Dec 02, 2018 04:32Polisi nchini Ufaransa wanaendelea kutumia nguvu kupita kiasi kukandamiza wananchi wanaopinga mfumo wa kibepari.
-
Wafaransa wawafundisha magaidi namna ya kutumia silaha za kemikali nchini Syria
Nov 22, 2018 11:15Shirika la habari la Sputnik limenukuu duru moja ya kuaminika ikisema kuwa wataalamu wa kemikali wa Ufaransa wanawafundisha magaidi mbinu za kutumia silaha za kemikali nchini Syria.
-
Mwanamke auawa katika maandamano ya kulalamikia ughali wa mafuta Ufaransa
Nov 18, 2018 03:41Mwanamke mmoja ameuawa katika maandamano makubwa ya kulalamikia ughali wa mafuta ya petroli kote Ufaransa siku ya Jumamosi.
-
Ufaransa yataka kusimamishwa vita vya Saudia dhidi ya Yemen
Nov 13, 2018 03:35Katika hatua iliyochukuliwa kwa kuchelewa ya nchi za Magharibi kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia huko Yemen, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameitaka jamii ya kimataifa kukomesha vita na mashambulizi ya Saudia dhidi ya watu wa Yemen.
-
Ufaransa yasisitiza kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Nov 12, 2018 04:07Waziri wa Ufaransa anayehusika na masuala ya Ulaya amesisitiza kuwa Paris inaheshimu na kufungamana na Makubaliano ya Nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji yaani JCPOA.
-
Watu sita watiwa mbaroni Ufaransa kwa kujaribu kumshambulia Rais Emmanuel Macron
Nov 07, 2018 04:07Vyombo vya habari nchini Ufaransa vimetangaza kwamba watu sita wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kupanga shambulizi dhidi ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo.
-
Seneti ya Ufarasa: Ulaya inapasa kusimama imara kukabiliana na vikwazo dhidi ya Iran
Nov 01, 2018 04:36Kamisheni ya Masuala ya Ulaya katika Seneti ya Ufaransa imesema kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni mtihani mkubwa kwa nguvu ya kisheria na kiuchumi ya Ulaya na kusisitiza kuwa nchi za bara hilo zinapasa kukabiliana vilivyo na changamoto hiyo.
-
Vyombo vya habari vyafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda
Oct 26, 2018 04:45Vyombo vya habari vimefichua picha za video zinazoonesha waziwazi nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari yaliyofanyika Rwanda mwaka 1994.