-
UN yakosoa hatua ya Ufaransa ya kupiga marufuku burqa
Oct 23, 2018 10:03Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeijia juu serikali ya Ufaransa kwa kupiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Uingereza, Ujerumani na Ufaransa zatoa taarifa ya pamoja kulaani mauaji ya Khashoggi
Oct 22, 2018 04:09Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa wametoa taarifa ya pamoja na kulaani kuuliwa mwandishi habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia.
-
Ufaransa yafanya njama za kujipenyeza zaidi bara la Afrika
Oct 20, 2018 23:05Ufaransa na katika fremu ya kupenyeza zaidi ndani ya bara la Afrika imetangaza utayarifu wake kwa ajili ya kupambana na kile kilichosemwa kuwa ni ugaidi.
-
AI yailaumu Ufaransa kwa kuiuzia silaha serikali ya Misri
Oct 17, 2018 03:48Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty international limeikosoa vikali Ufaransa na nchi nyingine kadhaa za Ulaya kwa kuendelea kuiuzia silaha serikali ya Misri na kusema kwamba, zimekiuka maamuzi ya Umoja wa Ulaya ya kupiga marufuku kuiuzia silaha serikali ya Cairo.
-
Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zataka ufanyike "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu mauaji ya Khashoggi
Oct 15, 2018 00:17Mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani wametoa taarifa ya pamoja wakiitaka Saudi Arabia na Uturuki zifanye "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Aal Saud.
-
JCPOA, fursa kwa ajili ya kujitegemea kifedha Ulaya
Oct 06, 2018 22:56Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akikosoa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ambayo yalifikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo na Marekani yenyewe na kuyatataja makubaliano hayo kuwa ndiyo mabaya zaidi kuwahi kufikiwa.
-
Ufaransa: Marekani haina haki ya kuchukua maamuzi kwa niaba ya Ulaya
Oct 06, 2018 03:46Waziri wa Fedha wa Ufaransa amesema kuwa, Marekani haiwezi kuchukua maamuzi kuhusiana na ushirikiano wa kibiashara wa nchi za Ulaya na Iran na kuongeza kuwa, vikwazo vya serikali ya Washington dhidi ya Iran ni fursa kwa Ulaya kwa ajili ya kuanzisha taasisi zinazojitegemea za kifedha.
-
Polisi wa Ufaransa wavamia kituo cha Kiislamu cha Zahraa (as) mjini Paris
Oct 02, 2018 23:11Polisi ya Ufaransa imevamia ofisi ya jumuiya ya Waislamu ya Zahraa (as) na nyumba za wanachama wa jumuiya hiyo na kuwatia mbaroni watu 11.
-
Kamanda wa polisi wa Saudia anashikiliwa Ufaransa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono
Oct 02, 2018 12:09Vyombo vya mahakama nchini Ufaransa vinafuatilia mashtaka dhidi ya afisa mmoja wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi la Saudia kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono dhidi ya mwanamke mmoja wa nchi hiyo.
-
Venezuela yaikosoa Ufaransa kwa kupanga njama za kutaka kufanya mabadiliko ya serikali
Oct 01, 2018 04:35Serikali ya Venezuela imekosoa njama za Ufaransa za kutaka kufanya mabadiliko ya serikali ya Caracas na kadhalika uingiliaji wa Paris katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.