-
Wanasheria wa Algeria: Ufaransa inapasa kuwalipa fidia wahanga wa ukoloni nchini Algeria
Sep 16, 2018 02:59Mwanasheria mmoja wa haki za binadamu nchini Algeria ametaka Paris ilipe gharama na fidia kufuatia kukiri serikali ya Ufaransa kuwatesa na kuwaua wale wote waliokuwa wakiunga mkono mapinduzi ya Algeria.
-
Mapambano dhidi ya ugaidi, Iran haitalegeza kamba
Sep 14, 2018 19:26Mashambulizi yaliyofanywa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (Sepah) dhidi ya makao ya magaidi huko kaskazini mwa Iraq yameonesha tena kwamba, kinyume na baadhi ya nchi za Magharibi, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina misimamo ya wazi kuhusu suala la kupambana na ugaidi na kwamba haitalegeza kamba wala kulegalega katika kulinda usalama wa taifa, ardhi yake na vitisho vya kijeshi.
-
Ufaransa yakiri, Syria imeshinda vita vya ndani
Sep 03, 2018 03:09Ufaransa na Uingereza ambazo ni nchi mbili wanachama katika Umoja wa Ulaya (EU) tangu mwaka 2011 zikiwa katika muungano wa nchi za Magharibi na za Kiarabu wa kutaka kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria, zimekuwa zikitoa misaada ya pande zote kwa makundi ya waasi na ya kigaidi kwa shabaha eti ya kuipindua serikali ya Rais Bashar Assad.
-
Nipigie baada ya dakika 30: Waziri Mkuu wa Pakistan amtaka Rais wa Ufaransa angojee kwenye laini ya simu
Sep 01, 2018 21:51Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alitakiwa angojee kwa muda wa nusu saa kuzungumza na Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan, baada ya kumpigia simu bila taarifa wakati Waziri Mkuu huyo wa Pakistan akiwa kwenye kikao na shakhsia waandamizi wa vyombo vya habari vya nchi hiyo.
-
Ufaransa yadai kuwa wavamizi hawatumii silaha zake katika jinai zao Yemen
Sep 01, 2018 02:56Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa amedai kuwa, silaha za Ufaransa zilizouziwa Saudia na Imarati sizo zinazotumika kufanya mauaji ya raia nchini Yemen.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Serikali ya sasa ya Marekani haiaminiki
Jul 30, 2018 09:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema haiwezekani kufanya mazungumzo ya aina yoyote na serikali ya sasa ya Marekani na kusisitiza kuwa serikali ya nchi hiyo haiaminiki.
-
Vita vya kuwania ngawira Libya vyapamba moto baina ya Ufaransa na Italia
Jul 21, 2018 22:58Mtandao wa habari wa Algeria umefichua kuwa Ufaransa na Italia zinachuana vikali kuwania ngawira zaidi huko Libya na kwamba wakati mwingine mchuano huo unafikia kiwango cha mapigano na vita vya kisiasa.
-
Ufaransa yatwaa Kombe la Dunia 2018
Jul 15, 2018 13:58Timu ya taifa ya soka ya Ufaransa imetwaa Kombe la Dunia la soka baada ya kuigaragaza Croatia mabao 4-2 katika mchezo wa fainali uliokuwa wa kusisimua.
-
Indhari kali ya Ufaransa dhidi ya siasa za kibiashara za Trump
Jul 15, 2018 05:35Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amekosoa siasa za kiuchumi zinazotekelezwa na Rais Donald Trump wa Marekani kuuhusu Umoja wa Ulaya.
-
Waziri wa Fedha wa Ufaransa: EU ichukue hatua za haraka kukabiliana na vikwazo vya Marekani
Jul 14, 2018 23:17Waziri wa Fedha wa Ufaransa amezitaka nchi za Umoja wa Ulaya kuchukua hatua za haraka kwa ajili ya kulinda mfumo wa kiuchumi wa nchi hizo katika vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.