-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi ya Daesh huko Homs, Syria
Feb 19, 2023 07:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali jinai ya hivi karibuni ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika viunga vya mji wa Homs nchini Syria na kusema: "Utawala wa Marekani unafuatilia sera za undumakuwili katika masuala ya kimataifa ikiwa ni pamoja na mapambano dhidi ya ugaidi."
-
Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan
Feb 12, 2023 02:34Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kwamba: "Tishio la ugaidi limeongezeka baada ya Marekani kuondoka Afghanistan."
-
Mkutano wa kilele wa Somalia waahidi kuchukua "hatua ya mwisho" ya kulimaliza kundi la Al-Shabaab
Feb 02, 2023 07:23Viongozi wa Somalia na nchi jirani wameahidi katika mkutano wa kilele uliofanyika jana Jumatano katika mji mkuu Somalia, Mogadishu, "kuchukua hatua za mwisho" dhidi ya kundi la Al-Shabaab.
-
Amir- Abdollahian: Dunia inakumbwa na migogoro ya matabaka mengi na tata
Jan 13, 2023 07:36Akizungumza mkutano kwa njia ya mtandao wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa "Sauti ya Kusini",Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza mitazamo na rai za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na masuala muhimu ya kimataifa na nafasi yenye taathira ya nchi za Kusini katika uga wa kimataifa.
-
Dunia yalaani shambulio la umwagaji damu nchini Iran
Oct 27, 2022 08:14Jamii ya kimataifa imeendelea kutuma salamu za rambirambi na kutoa taarifa za kulaani shambulio la kigaidi lililopelekea kuuawa na kujeruhiwa makumi ya watu kusini magharibi mwa Iran.
-
Iran: Kama US inapigania kweli haki za binadamu, iache kuwasaidia magaidi
Oct 14, 2022 07:50Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema iwapo Marekani inataka kupambana kwa dhati na ugaidi, sharti iachane na tabia yake ya kuunga mkono makundi ya kigaidi kama lile la Kumalah.
-
Kutochapishwa ripoti ya mateso ya CIA kwa kisingizio cha tishio kwa usalama wa taifa wa Marekani
Sep 19, 2022 02:25Ripoti ya Seneti ya Marekani kuhusu mpango wa kikatili wa utesaji na kuwahoji washukiwa wa ugaidi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) chini ya anwani "Programu ya Kuhoji Iliyoboreshwa" haitachapishwa kwa sasa.
-
Ennahda yapinga kamatakamata ya wanasiasa nchini Tunisia
Sep 15, 2022 03:14Harakati ya Ennahda nchini Tunisia imelaani vikali kile ilichoeleza kuwa ni kukamatwa kiholela kwa watu kadhaa akiwemo kiongozi wa ngazi ya juu wa harakati hiyo, Habib Al-Louz na kutaka waachiliwe huru mara moja.
-
Kupenda vita Marekani duniani; urithi wa tukio la Septemba 11
Sep 12, 2022 08:21Jumapili ya jana tarehe 11 Septemba ilisadifiana na kutimia miaka 21 tangu kutokea mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 ambapo hadi sasa Marekani ingali imeshughulishwa na matokeo ya tukio hili lenye kuainisha hatima.
-
Kuongezeka hujuma za kigaidi barani Afrika
Aug 25, 2022 03:42Kuenea kwa hujuma za kigaidi katika kanda tofauti za bara Afrika, hasa kuongezeka kwa mashambulizi yanayotekelezwa na makundi ya Al-Shabaab huko Somalia na Boko Haram nchini Nigeria, kumepelekea kuibuka wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa ukosefu wa usalama barani Afrika na duniani kote.