Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Rais wa Uganda ataka kuimarisha uhusiano wa nchi yake na serikali mpya ya Iran

    Rais wa Uganda ataka kuimarisha uhusiano wa nchi yake na serikali mpya ya Iran

    Jul 04, 2021 09:04

    Rais wa Uganda amemtumia ujumbe Rais mteule wa Iran, Sayyid Ebrahim Raeisi akimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran; huku akieleza kuwa Kampala ipo tayari kuimarisha uhusiano wake na serikali ijayo ya Tehran.

  • Uganda yaidhinisha matumizi ya dawa ya asili 'kutibu Corona'

    Uganda yaidhinisha matumizi ya dawa ya asili 'kutibu Corona'

    Jun 29, 2021 21:57

    Serikali ya Uganda imeidhinisha matumizi ya dawa ya mitishamba ya 'Covidex' kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayosababishwa na virusi ukiwemo ugonjwa wa Covid-19.

  • Mamia ya wakimbizi wa Kongo DR wamiminika Uganda

    Mamia ya wakimbizi wa Kongo DR wamiminika Uganda

    Jun 16, 2021 21:59

    Wakimbizi karibu elfu moja raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasili nchini Uganda katika kipindi cha siku chache zilizopita.

  • Shule zafungwa Uganda baada ya Museveni kupiga marufuku mikusanyiko siku 42 kutokana na ungozeko la corona

    Shule zafungwa Uganda baada ya Museveni kupiga marufuku mikusanyiko siku 42 kutokana na ungozeko la corona

    Jun 07, 2021 08:39

    Shule na taasisi za elimu zimefungwa kote nchini Uganda na idadi kubwa ya wanafunzi ilionekana leo katika vituo vya usafiri vya miji mikubwa ya Uganda wakijitayarisha kurudi makwao baada ya Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo kupiga marufuku mikusanyiko yote kwa kipindi cha siku 42 kutokana na ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya corona.

  • Bobi Wine: Jamii ya kimataifa inathamini zaidi biashara kuliko maadili, haki za binadamu

    Bobi Wine: Jamii ya kimataifa inathamini zaidi biashara kuliko maadili, haki za binadamu

    Jun 04, 2021 22:01

    Kiongozi wa upinzani wa Uganda Robert Kyagulanyi Sentamu maarufu kwa jina la Bobi Wine amesema hali ya haki za binadamu nchini Uganda imekuwa mbaya zaidi tangu baada ya uchaguzi wa Januari 14 mwaka huu.

  • Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Jenerali Katumba amshukuru Mungu kwa kumnusuru na kifo

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Jenerali Katumba amshukuru Mungu kwa kumnusuru na kifo

    Jun 02, 2021 07:47

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Jenerali Katumba Wamala ametoa ujumbe mapema leo akimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuokoa na kubakia hai baada ya shambulio lililomlenga mapema jana Jumanne katika eneo la Kiasasi jijini Kampala.

  • Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda aponea chupuchupu jaribio la mauaji; binti na dereva wake wauawa

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda aponea chupuchupu jaribio la mauaji; binti na dereva wake wauawa

    Jun 01, 2021 06:38

    Vyombo vya habari nchini Uganda vimetangaza kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa nchi hiyo amenusurika kuuawa katika jaribio lililofeli dhidi yake.

  • Tanzania yaonya kuhusu Corona ya India, spishi hiyo yaripotiwa Kenya na Uganda

    Tanzania yaonya kuhusu Corona ya India, spishi hiyo yaripotiwa Kenya na Uganda

    May 07, 2021 03:29

    Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimetadharisha juu ya kuibuka na kuenea kwa spishi mpya ya ugonjwa wa Covid-19 ya India katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

  • Ongwen kukata rufaa baada ya kuhukumiwa mahakama ya ICC

    Ongwen kukata rufaa baada ya kuhukumiwa mahakama ya ICC

    Feb 15, 2021 09:41

    Kamanda wa zamani wa waasi wa kundi la Lord’s Resistance Army, Dominic Dominic Ongwen amesema atakata rufaa dhidi ya uamuzi wa Februari 4 wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), ambayo ilimpata na hatia ya kutenda uhalifu 61 wa kivita jinai dhidi ya ubinadamu.

  • Uganda yaishambulia EU kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo

    Uganda yaishambulia EU kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo

    Feb 13, 2021 05:20

    Serikali ya Uganda imeukosoa vikali Umoja wa Ulaya kwa kile ilichodai kuwa ni uingiliaji wa masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS