Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • UN yalaani shambulizi la kigaidi Uganda, waliouawa ni zaidi ya 40

    UN yalaani shambulizi la kigaidi Uganda, waliouawa ni zaidi ya 40

    Jun 18, 2023 04:15

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililoua makumi ya wanafunzi katika eneo la Mpondwe, magharibi mwa Uganda.

  • Makumi ya wanafunzi wauawa katika hujuma ya magaidi wa ADF Magharibi mwa Uganda

    Makumi ya wanafunzi wauawa katika hujuma ya magaidi wa ADF Magharibi mwa Uganda

    Jun 17, 2023 04:28

    Polisi ya Uganda imetangaza kuwa, makumi ya watu wameuawa katika hujuma iliyofanywa na watu waliokuwa na silaha dhidi ya shule moja ya sekondari Magharibi mwa nchi hiyo.

  • Uganda yajibu tahadhari ya Marekani, yasema: Hatutatishwa

    Uganda yajibu tahadhari ya Marekani, yasema: Hatutatishwa

    Jun 16, 2023 04:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda amesema taifa hilo kamwe halitasalimu amri na kukubali kuburuzwa na Marekani ili likengeuke thamani, maslahi na utamaduni wake.

  • Ethiopia yawatimua Waganda waliohadaiwa kwenda 'kuonana' na Yesu

    Ethiopia yawatimua Waganda waliohadaiwa kwenda 'kuonana' na Yesu

    Jun 13, 2023 03:57

    Mamlaka za Ethiopia zimewarejesha nyumbani raia 80 wa Uganda ambao walitapeliwa fedha zao kwa ahadi kwamba watapelekwa kukutana na Yesu katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Kanisa la Anglikana 'lasikitishwa' na sheria dhidi ya ushoga Uganda

    Kanisa la Anglikana 'lasikitishwa' na sheria dhidi ya ushoga Uganda

    Jun 10, 2023 07:03

    Kiongozi wa Kanisa la Kianglikana Duniani amedai kuwa amesikitishwa na hatua ya Uganda ya kupasisha sheria kali ya kupambana na ubaradhuli na mahusiano ya watu jinsia moja.

  • Museveni: Wanajeshi 54 wa Uganda wameuawa na al-Shabaab Somalia

    Museveni: Wanajeshi 54 wa Uganda wameuawa na al-Shabaab Somalia

    Jun 04, 2023 08:02

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema makumi ya askari wa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo (UPDF) waliuawa katika shambulio la wanamgambo wa al-Shabaab nchini Somalia wiki iliyopita.

  • Kutishiwa kuwekewa vikwazo Uganda, njama za Marekani za kuzitwisha ufuska nchi za Afrika

    Kutishiwa kuwekewa vikwazo Uganda, njama za Marekani za kuzitwisha ufuska nchi za Afrika

    Jun 01, 2023 08:42

    Rais wa Marekani, Joe Biden amelaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo na ameitaka Uganda kufuta mara moja sheria hiyo.

  • Sheria dhidi ya LGBTQ Uganda yamkasirisha rais wa Marekani, atishia kuiwekea nchi hiyo vikwazo

    Sheria dhidi ya LGBTQ Uganda yamkasirisha rais wa Marekani, atishia kuiwekea nchi hiyo vikwazo

    May 30, 2023 03:11

    Rais Joe Biden wa Marekani amelaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais Yoweri Museveni wa Uganda dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.

  • Uganda yapasisha sheria ya kukabili mapenzi ya watu wa jinsia moja

    Uganda yapasisha sheria ya kukabili mapenzi ya watu wa jinsia moja

    May 29, 2023 07:23

    Hatimaye Rais Yoweri Museveni ameupasisha kuwa sheria, Muswada wa 2023 wa kupiga marufuku nchini humo na kuwachukulia hatua kali wanaojihusisha na mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja, licha ya maonyo na vitisho vya nchi za Magharibi.

  • Museveni: Tutalipiza kisasi cha shambulio la al-Shabaab dhidi ya UPDF Somalia

    Museveni: Tutalipiza kisasi cha shambulio la al-Shabaab dhidi ya UPDF Somalia

    May 28, 2023 03:24

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo UPDF litatoa jibu kali kufuatia shambulizi la wanamgambo wa al-Shabaab dhidi ya askari walinda amani wa Uganda walioko nchini Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS