-
Idadi ya vifo vya wafuasi wa kanisa lenye utata Kenya yafikia 89
Apr 25, 2023 12:30Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya Profesa Kithure Kindiki amesema, mauaji ya waumini wa Kanisa la kijiji cha Shakahola kilichoko katika Kaunti ya Kilifi ni hatua ya mabadiliko makubwa na muhimu kwa nchi hiyo kuhusu jinsi ya kushughulikia masuala ya usalama yanayosababishwa na waasi wa kidini.
-
Jitihada za Uhuru zimezaa matunda; waasi wa M23 wakubali kuondoka Kivu Kaskazini
Jan 13, 2023 07:37Juhudi za Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta za kurejesha amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimepiga hatua kubwa kufuatia waasi wa M-23 kukubali kuondoka katika eneo hilo lililoathiriwa na machafuko.
-
Mjane za Mzee Jommo Kenyatta atetea hatua ya Uhuru ya kumuunga mkono Raila
Mar 23, 2022 13:14Aliyekuwa mama wa taifa la Kenya, Mama Ngina Kenyatta, ametetea uamuzi wa mwanawe, Rais Uhuru Kenyatta wa kutengana na naibu wake, William Ruto na kumuunga mkono kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao.
-
Rais Kenyatta atangaza rasmi kumuunga mkono Odinga katika uchaguzi wa rais Kenya
Feb 23, 2022 14:15Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza rasmi kumuunga mkono kinara wa chama cha upinzani cha ODM, Raila Odinga katika azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka huu.
-
Mahakama Kuu ya Kenya yapinga mpango wa BBI wa kubadili katiba
May 14, 2021 11:46Mahakama ya Juu nchini Kenya imeamua kwamba, mageuzi ya kikatiba yanayopigiwa debe na Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi mkuu wa upinzani, Raila Odinga ni kinyume na sheria.
-
Tanzania, Kenya zaafikiana kuhusu ujenzi wa bomba la gesi
May 04, 2021 15:00Kenya na Tanzania zimefikiana kuhusu ujenzi wa bomba la gesi aina ya LPG kutoka Dar es Salaam kwenda Mombasa.
-
Naibu Rais wa Kenya, Ruto asema yuko tayari kukihama chama tawala na kujiunga na Raila au UDA
Mar 25, 2021 11:28Naibu Rais wa Kenya William Ruto amesema leo Alhamisi kwa mara ya kwanza kwamba yuko tayari kukihama chama tawala cha Jubilee na kujiunga na chama United Democratic Alliance (UDA) kwa ajili ya uchaguzi wa urais wa 2022.
-
Rais Magufuli wa Tanzania aendelea kupongezwa kimataifa baada ya ushindi katika uchaguzi
Nov 01, 2020 03:27Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania anaendelea kupongezwa kimataifa kutokana na ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28.
-
Jaji Mkuu wa Kenya amtaka Rais Uhuru Kenyatta kulivunja Bunge
Sep 21, 2020 14:37Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga Jumatatu ya leo amemshauri Rais Uhuru Kenyatta kulivunja Bunge kwa sababu ya kushindwa kutunga sheria kuhusu usawa wa kijinsia.
-
Rais wa Kenya atangaza kurefusha muda wa kafyu kukabiliana na Covid-19
Jul 27, 2020 16:53Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo Jumatatu amerefusha kipindi cha kafyu nchini humo kwa siku nyingine 30 na kupiga marufuku uuzaji wa pombe migahawani ili kuzuia maambukizi ya COVID-19 nchini humo.