-
Wakili Mskochi: Wawindaji wa wanawake wanatembea kwa uhuru nchini Uingereza
Dec 05, 2025 02:35Utafiti mpya unaonyesha kwamba wasichana na wanawake nchini Uingereza bado wanahisi hawako salama katika maeneo ya umma.
-
Afisa wa jeshi la Uingereza: Tuliua makumi ya Waafghani, maafisa walificha uhalifu huo
Dec 02, 2025 03:24Afisa wa zamani wa jeshi la Uingereza amefichua mauaji yaliyofanywa na askari wa kikosi maalumu cha Uingereza nchini Afghanistan na jinsi makamanda wa kikosi hicho walivyonyamazia kimya na kuficha uhalifu huu.
-
Marekani na Uingereza; madai ya uongo kuhusu haki za binadamu
Nov 12, 2025 02:31Ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani na Uingereza zimechapishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran.
-
Chuo Kikuu cha Oxford chanufaika na makampuni yanayojishughulisha na uhalifu wa Israel
Oct 18, 2025 07:46Chuo Kikuu cha Oxford cha nchini Uingereza, ambacho kwa muda mrefu kinajulikana kama kilele cha elimu duniani, kinachunguzwa vikali baada ya kubainika wazi kwamba kimefanya uwekezaji kwa njia isiyo ya moja kwa moja katika makampuni yasiyopungua 49 yanayojihusisha na vitendo haramu vya Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Bunge la Scotland lapiga kura ya kuisusia, kuiwekea vikwazo Israel kwa mauaji ya kimbari Gaza
Sep 05, 2025 10:36Bunge la Scotland limepiga kura ya kutaka kusisiwa mara moja Israel na kampuni za utawala huo wa Kizayuni zinazotuhumiwa kuhusika na mauaji ya kimbari huko Gaza.
-
Watu zaidi ya 530 watiwa nguvuni London kwa kuiunga mkono Palestina
Aug 11, 2025 09:06Polisi ya London imetangaza kuwa jumla ya waandamanaji 532 wametiwa mbaroni wakati wa maandamano ya kuunga mkono kundi linalojulikana kwa jina la Palestine Action Group linalowatetea Wapalestina.
-
Kituo cha silaha za nyuklia cha Uingereza chavujisha mada za radioactive
Aug 09, 2025 15:20Mada za radioactive zimeripotiwa kuvuja baharini kutoka katika kituo kinachohifadhi mabomu ya nyuklia ya Uingereza baada ya mabomba ya zamani kupasuka mara kadhaa.
-
Marekani na China zashutumiana vikali kwenye Baraza la Usalama la UN kuhusiana na Russia
Jul 27, 2025 09:56Marekani na China zimeshutumiana vikali wakati wa kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu madai ya kuihusisha Beijing katika mzozo wa Ukraine.
-
Maafisa wa Uingereza na Umoja wa Mataifa waitaka London kulitambua rasmi taifa la Palestina
Jul 24, 2025 12:09Zaidi ya maafisa 50 wa zamani wa Uingereza na Umoja wa Mataifa wamemwandikia barua Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer wakimtaka alitambue rasmi taifa la Palestina.
-
Polisi UK yakamata makumi ya watu kwa kushiriki maandamano ya kuiunga mkono Palestina
Jul 13, 2025 07:06Polisi wa Uingereza imewakamata makumi ya wanaharakati wanaoiunga mkono Palestina wakati wa maandamano mapya ya kupinga marufuku ya vuguvugu la 'Palestine Action', kundi linalojulikana kwa maandamano yake dhidi ya makampuni ya silaha yenye uhusiano na Israel.