-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bila shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi
Mar 17, 2025 06:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Yemen kwa Muqawama wake wa kukabiliana na jinai za kinyama za utawala wa Marekani dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa hakuna shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi.
-
Mtikisiko wa kiuchumi nchini Uingereza; Kengele ya hatari kwa serikali ya Starmer
Mar 15, 2025 08:42Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa uchumi wa Uingereza ulidorora mwanzoni mwa 2025, kinyume na utabiri, na kushuka huku kusikotarajiwa, ambako ni matokeo ya uzalishaji duni wa viwandani na kudorora kwa sekta muhimu, kumezidisha wasiwasi kuhusu mustakabali wa uchumi wa nchi hiyo na changamoto zinazoikabili serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Keir Starmer katika njia ya ukuaji wa uchumi.
-
Wizi na uporaji wakithiri UK, kila siku matukio 55,000 ya wizi Uingereza
Mar 15, 2025 02:24Ripoti ya Muungano wa Wafanyabiashara wa Uingereza inaonesha kuwa maduka 55,000 nchini humo hukumbwa na vitendo vya wizi na uporaji kila siku, na robo ya wakazi wa nchi hiyo ya Ulaya wanasema walishuhudia kwa uchache tukio moja la wizi mwaka jana 2024.
-
Watoto wenye matatizo ya afya ya akili wazidi kuongezeka nchini Uingereza
Jan 24, 2025 06:57Idadi ya watoto wanaokabiliwa na matatizo ya afya ya akili nchini Uingereza inaripotiwa kuongezeka na kuibua wasiwasi mkubwa katika jamii ya hiyo ya bara Ulaya.
-
Shambulio la kisu Ujerumani, wawili wauawa
Jan 23, 2025 02:49Watu wawili, yaani mtu mzima na mtoto mmoja, waliuawa katika shambulio la kudungwa kisu nchini Ujerumani jana Jumatano.
-
Makundi ya kutetea Palestina ya Uingereza: Amani ya kudumu huko Gaza itapatikana kwa kukomesha uvamizi wa Israel
Jan 18, 2025 02:41Makundi kadhaa ya wanaharakati wa Kipalestina nchini Uingereza yametoa wito wa kukomeshwa uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina, baada ya kutangazwa makubaliano ya kuzisitisha vita kati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na utawala ghasibu wa Israel.
-
UN: Uhuru wa Syria, umoja na kubaki kamili ardhi yake yote vinakabiliwa na hatari kubwa
Jan 09, 2025 06:09Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya ulichokiita "hatari halisi" inayokabili uhuru na kujitawala kwa Syria kufuatia kuanguka ghafla utawala wa zamani wa nchi hiyo.
-
Rais wa Kenya aahidi kukomesha utekanyaji nyara ili vijana wa nchi hiyo waishi kwa amani
Dec 28, 2024 12:48Rais William Ruto wa Kenya ameahidi kukomesha utekaji nyara, kufuatia visa vya hivi karibuni vya watu kutoweka ambavyo vimelaaniwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, mawakili na wanasiasa.
-
Iran: Matamshi ya waziri wa mambo ya nje wa Uingereza kuhusu Syria ni ya "unafiki"
Dec 12, 2024 11:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, madai ya Uingereza kuhusu matukio yanayojiri Syria ni ya kinafiki na ya upotoshaji ukweli.
-
UN yatoa indhari ya kuzidi kuharibika hali usalama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Dec 10, 2024 11:28Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amesema, kuna mvutano wa kisiasa nchini humo kufuatia miito ya kuifanyia mabadiliko Katiba sambamba na kuzidi kuvurugika hali ya usalama katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Ituri kunakohusisha harakati za makundi ya ADF, M23, CODECO na Zaire.