-
Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow
Nov 03, 2021 07:18Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amejiunga na Rais wa Marekani Joe Biden na kutwanga usingizi mfupi wakati wa vikao vya Mkutano wa Hali ya Hewa unaofanyika Glasgow huko Scotland.
-
Mbunge wa chama tawala Uingereza auawa kwa kisu kanisani
Oct 15, 2021 23:02Mbunge mmoja wa chama tawala cha kihafidhina nchini Uingereza ameuawa kwa kuchomwa kisu kanisani na mtu asiyejulikana katika mji wa Leigh-on-Sea kusini mwa nchi.
-
Korea Kaskazini yazionya US, UK na Australia kuhusu makubaliano yao ya nyambizi ya nyuklia
Sep 20, 2021 05:44Korea Kaskazini imesema makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya nchi tatu za Marekani, Uingereza na Australia ni hatua hatari sana.
-
Lebanon yafungua mashtaka dhidi ya kampuni ya Uingereza kwa kuhusika na mlipuko wa Bandari ya Beirut
Aug 25, 2021 03:46Lebanon imefungua mashtaka katika mahakama Kuu ya Uingereza mjini London dhidi ya kampuni moja ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika katika mlipuko wa mwaka jana katika Bandari ya Beirut.
-
Palestine Action yavamia kiwanda cha kuzalisha silaha cha Israel nchini Uingereza
Aug 23, 2021 08:20Kama sehemu ya kampeni yao ya kitaifa dhidi ya kiwanda kinachotengeneza silaha za Israeli, wanaharakati wanaounga mkono Palestina nchini Uingereza wamefanya maandamano nje ya kiwanda cha kampuni hiyo kwenye eneo Oldham na kuvamia paa la kiwanda hicho.
-
Uingereza yaidhinisha dawa ya kuzuia na kutibu Corona
Aug 20, 2021 21:58Mamlaka ya Kusimamia Dawa na Matibabu Uingereza (MHRA) imeidhinisha kile ilichokitaja kuwa dawa ya aina yake ya kukinga na kutibu ugonjwa wa COVID-19.
-
Wanasoka weusi wa timu ya taifa ya Uingereza waandamwa na hujuma za ubaguzi wa rangi
Jul 12, 2021 03:45Shirikisho la Soka la Uingereza limetoa taarifa likieleza kuchukizwa na kauli za matusi ya kibaguzi dhidi ya wachezaji weusi wa timu ya taifa ya soka ya nchi hiyo na kutangaza uungaji mkono wake kwa wachezaji hao.
-
Mbunge wa chama cha Leba ataka sheria ya kuwaadhibu wanaomvunjia heshima Mtume (saw)
Jul 11, 2021 00:12Mbunge wa Uingereza ametetea heshima ya Mtume Muhammad (saw) katika hotuba ya kupendeza kwenye Bunge la nchi hiyo, akiangazia mashinikizo ya kiroho na madhara yaliyosababishwa kwa Waislamu ulimwenguni kote kutokana na katuni na picha zinazochapishwa mara kwa mara barani Ulaya zikimvunjia heshima Nabii huyo wa Mwenyezi Mungu.
-
Waziri wa zamani wa mambo ya ndani wa Uingereza aitaka Conservative itupilie mbali Islamophobia
May 26, 2021 21:50Waziri wa zamani wa mambo ya ndani wa Uingereza amekishauri chama tawala cha Conservative kujipanga upya kwa kutupilia mbali sera za kupiga vita Uislamu (Islamophobia).
-
Marekani yasimamisha chanjo ya corona ya Johnson & Johnson kwa hofu ya kuganda damu
Apr 13, 2021 22:05Marekani imesitisha matumizi ya chanjo ya virusi vya corona iliyotengenezwa na kampuni ya dawa ya nchi hiyo, Johnson and Johnson, ambayo kuna madai kuwa inasababisha kuziba kwa mishipa kama matokeo ya tatizo la kuganda kwa damu kwa watu waliopewa chanjo hiyo.