-
Shule za Kiislamu Uingereza zaweka historia, zashika nafasi tatu za juu na kuongoza kwa ubora
Nov 02, 2019 04:44Shule za Kiislamu za Uingereza zimeweka historia kwa kushika nafasi tatu za kwanza katika orodha ya shule bora zaidi nchini humo.
-
Wahajiri wanane wakutwa ndani ya lori la friji wakisafirishwa kupelekwa Uingereza
Oct 28, 2019 04:33Wahajiri wanane kutoka Afghanistan wamekutwa ndani ya lori la friji lililokuwa likielekea Uingereza, wakati lori hilo lilipokaguliwa katika bandari ya Calais nchini Ufaransa. Hayo ni kwa mujibu wa ofisi ya mkuu wa mashtaka wa mji huo.
-
Maiti 39 zapatikana ndani ya lori kusini mwa Uingereza, dereva akamatwa
Oct 23, 2019 23:19Miili 39 imepatikana ndani ya lori lililokuwa limeegeshwa katika eneo la Grey, jijini Essex, mashariki mwa London, kusini mashariki mwa Uingereza.
-
Mahakama ya Juu Kabisa ya Uingereza yabatilisha uamuzi wa Johnson wa kusimamisha Bunge
Sep 24, 2019 10:12Mahakama ya Juu Kabisa ya Uingereza imebatilisha uamuzi uliochukuliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Boris Johnson wa kusimamisha vikao vya Bunge na kusisitiza kuwa hatua hiyo imechukuliwa "kinyume cha sheria, ni batili na haina athari yoyote".
-
Uingereza yakiuka marufuku ya kuiuzia silaha Saudia
Sep 17, 2019 22:09Serikali ya Uingereza imekiri kuwa ilikiuka marufuku ya kuuzia silaha utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia unaoua raia wasio na hatia huko Yemen.
-
Hasira zapanda Uingereza baada ya waziri mkuu kusitisha vikao vya bunge
Aug 30, 2019 03:31Hasira zinaendelea kupanda miongoni mwa wananchi na wanasiasa nchini Uingereza baada ya waziri mkuu wa nchi hiyo kuchukua uamuzi wa kidikteta wa kusitisha vikao vya bunge.
-
Larijani: Uingereza imelazimika kulegeza msimamo mkabala na nguvu ya Iran
Aug 17, 2019 02:28Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amezungumzia suala la kuachiwa meli ya mafuta ya Iran ya Grace-1 na kueleza kuwa Uingereza imelazimika kusalimu amri mbele ya nguvu ya Iran.
-
Kuachiliwa meli ya mafuta ya Iran; kushindwa Uingereza na kufedheheka Marekani
Aug 16, 2019 05:35Kufuatia diplomasia hai na athirifu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uamuzi wa Mahakama ya Juu ya eneo la Jabal Tariq (Gibraltar), hatimaye meli ya mafuta ya Iran inayojulikana kama Grace 1 imechiliwa na kuruhusiwa kuendelea na safari zake katika maji ya kimataifa.
-
Iran: Uingereza inatarajiwa baada ya muda si mrefu kuiachia meli ya mafuta iliyoizuia
Aug 13, 2019 22:06Shirika la Bandari na Safari za Majini la Iran limesema, Uingereza inatazamiwa baada ya muda si mrefu kuiachia meli ya mafuta inayomilikiwa na Iran ambayo iliizuia kinyume cha sheria mwezi uliopita katika pwani ya Gibraltar, baada ya pande mbili kubadilishana baadhi ya nyaraka ili kurahisisha kuachiwa kwa meli hiyo.
-
Familia ya binti Msomali-Muingereza aliyegharikishwa yataka haki
Aug 13, 2019 02:59Familia ya binti Msomali mwenye uraia wa Uingereza aliyegharikishwa imetaka haki na uadilifu baada ya kubainika kuwa alipoteza maisha kwa njia ya kutatanisha.