Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Kuachiliwa meli ya mafuta ya Iran; kushindwa Uingereza na kufedheheka Marekani

    Kuachiliwa meli ya mafuta ya Iran; kushindwa Uingereza na kufedheheka Marekani

    Aug 16, 2019 05:35

    Kufuatia diplomasia hai na athirifu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uamuzi wa Mahakama ya Juu ya eneo la Jabal Tariq (Gibraltar), hatimaye meli ya mafuta ya Iran inayojulikana kama Grace 1 imechiliwa na kuruhusiwa kuendelea na safari zake katika maji ya kimataifa.

  • Iran: Uingereza inatarajiwa baada ya muda si mrefu kuiachia meli ya mafuta iliyoizuia

    Iran: Uingereza inatarajiwa baada ya muda si mrefu kuiachia meli ya mafuta iliyoizuia

    Aug 13, 2019 22:06

    Shirika la Bandari na Safari za Majini la Iran limesema, Uingereza inatazamiwa baada ya muda si mrefu kuiachia meli ya mafuta inayomilikiwa na Iran ambayo iliizuia kinyume cha sheria mwezi uliopita katika pwani ya Gibraltar, baada ya pande mbili kubadilishana baadhi ya nyaraka ili kurahisisha kuachiwa kwa meli hiyo.

  • Familia ya binti Msomali-Muingereza aliyegharikishwa yataka haki

    Familia ya binti Msomali-Muingereza aliyegharikishwa yataka haki

    Aug 13, 2019 02:59

    Familia ya binti Msomali mwenye uraia wa Uingereza aliyegharikishwa imetaka haki na uadilifu baada ya kubainika kuwa alipoteza maisha kwa njia ya kutatanisha.

  • IRGC: Vita vinaweza kutokea Israel ikijiingiza Ghuba ya Uajemi; US, UK ndizo zitakazobeba dhima

    IRGC: Vita vinaweza kutokea Israel ikijiingiza Ghuba ya Uajemi; US, UK ndizo zitakazobeba dhima

    Aug 12, 2019 10:36

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limeonya kuwa kuwepo kwa namna yoyote ile utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Ghuba ya Uajemi kunaweza kusababisha vita katika eneo hilo na kusisitiza kwamba, Marekani na Uingereza ndizo zitakazobeba dhima ya matokeo hasi ya uwepo huo haramu.

  • Uingereza na Marekani zaitaka Tanzania izingatie

    Uingereza na Marekani zaitaka Tanzania izingatie "utaratibu wa haki" katika kesi ya Kabendera

    Aug 09, 2019 20:50

    Serikali za Uingereza na Marekani zimeitaka Tanzania ihakikishe mchakato na utaratibu wa haki wa sheria unafuatwa kuhusiana na mwandishi wa habari aliyekamatwa na kushtakiwa kwa makosa ambayo, wakili wake na makundi ya kutetea haki za binadamu yanasema, yametokana na sababu za kisiasa.

  • Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Iran atoa onyo kwa Marekani na Uingereza

    Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Iran atoa onyo kwa Marekani na Uingereza

    Jul 24, 2019 13:25

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya ulinzi ametoa onyo kwa Uingereza kuhusiana na nia yake ya kujiingiza kwenye eneo la Lango Bahari la Hormuz na kwa Marekani kuhusu nia yake ya kutaka kuanzisha vita vya kijeshi na akaeleza kwamba: Kauli iliyotolewa na Saudi Arabia na Imarati kuhusu kuhitimishwa vita vya Yemen inadhihirisha kushindwa kwao katika vita hivyo.

  • Iran: Tumesimamisha meli moja tu ya mafuta ya Uingereza kwa kuvunja sheria za kimataifa

    Iran: Tumesimamisha meli moja tu ya mafuta ya Uingereza kwa kuvunja sheria za kimataifa

    Jul 19, 2019 22:45

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limetangaza kuwa limesimamisha meli moja ya mafuta ya Uingereza baada ya kukiuka sheria za kimataifa za ubaharia katika Lango Bahari la Hormuz.

  • Tehran yaitaka Uingereza ijiepushe na mchezo hatari, iiachilie meli ya mafuta ya Iran

    Tehran yaitaka Uingereza ijiepushe na mchezo hatari, iiachilie meli ya mafuta ya Iran

    Jul 12, 2019 20:37

    Iran imeitaka Uingereza iachilie mara moja meli yake kubwa ya mafuta iliyokamatwa katika lango bahari la Jabal Tariq (Gibraltar) na imeitahadharisha London juu ya kuingia katika mchezo hatari usio na mwisho.

  • Kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran na utegemezi wa Uingereza kwa Marekani

    Kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran na utegemezi wa Uingereza kwa Marekani

    Jul 12, 2019 09:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran katika lango bahari la Jabal Tariq (Gibraltar) ni kielelezo cha utegemezi wa Uingereza kwa Marekani.

  • Kamanda wa IRGC: Uingereza na Marekani zitajuta kwa kuizuilia meli ya mafuta ya Iran

    Kamanda wa IRGC: Uingereza na Marekani zitajuta kwa kuizuilia meli ya mafuta ya Iran

    Jul 11, 2019 21:56

    Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) ameonya kuwa, Uingereza na Marekani zitajuta kutokana na hatua ya London ya kusimamisha na kuzuilia meli ya mafuta ya Iran katika Lango Bahari la Jabal Tariq (Gibraltar).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS