-
Trump na balozi wa Uingereza washambuliana kwa maneno
Jul 08, 2019 03:16Rais Donald Trump amemshambulia vikali balozi wa Uingereza mjini Washington aliyemtaja kiongozi huyo wa Marekani kama mtu mtepetevu, asiye na tajriba na anayeendesha Ikulu ya White House kishaghalabaghala.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Hatutaruhusu uharamia wa Uingereza
Jul 08, 2019 02:15Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya askari wa Jeshi la Wanamaji la Uingereza ya kuisimamisha meli ya mafuta ya Iran katika Lango Bahari la Jabal al Tariq (Gibraltar) na kueleza bayana kuwa, Tehran kamwe haitaruhusu uharamia huo wa London.
-
Kuisimamisha meli ya mafuta ya Iran, chokochoko za Uingereza katika uwanja wa Marekani
Jul 05, 2019 08:00Askari wa Jeshi la Wanamaji la Uingereza jana Alkhamisi waliisimamisha meli ya mafuta ya Iran katika Lango Bahari la Jabal al Tariq kwa madai kwamba ilikuwa inaelekea Syria.
-
Saudia iliiomba Uingereza iishambulie kijeshi Iran, baada ya Marekani kukwepa kufanya hivyo
Jun 22, 2019 08:34Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Saudi Arabia aliiomba serikali ya Uingereza ishambulie kambi na vituo vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, masaa machache baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuwa amesitisha kile alichokitaja kama shambulizi la ulipizaji kisasi la Washington dhidi ya Tehran.
-
Mahakama: Uingereza imekiuka sheria kwa kuiuzia silaha Saudia
Jun 21, 2019 00:04Mahakama ya Rufaa nchini Uingereza imesema kuwa serikali ya London ilikiuka sheria kwa kuiuzia silaha Saudi Arabia na washirika wake katika vita vya Yemen.
-
Iran yalaani kitendo cha magaidi wa MKO kufunga lango la ubalozi wake London
Jun 17, 2019 03:18Wafuasi wa kundi la kigaidi la Munafiqina (MKO) wameendelea kufunga lango pekee la kuingia katika ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mji mkuu wa Uingereza, London.
-
Sanders na Corbyn: Shambulio la Bahari ya Oman lisitumike kuanzisha vita
Jun 15, 2019 06:24Viongozi mashuhuri wa kisiasa nchini Marekani na Uingereza wameionya vikali serikali ya Washington, dhidi ya kutumia tukio la kushambuliwa meli za mafuta katika Bahari ya Oman kama kisingizio cha kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Upinzani Uingereza wakosoa uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo
Jun 11, 2019 02:42Chama kikuu cha upinzani cha Leba nchini Uingereza kimekosoa vikali uingiliaji wa masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Ulaya unaofanywa na Marekani.
-
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ajiuzulu baada ya jitihada zake kuhusu Brexit kufeli
May 24, 2019 07:21Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ametangaza kujiuzulu wadhifa wake baada ya jitihada zake za kuandaa mpango kabambe wa kujiondoa nchi hiyo kutoka Umoja wa Ulaya (Brexit) kugonga mwamba.
-
Wanaharakati waandamana London, Uingereza kulaani ukatili wa Saudia
Apr 27, 2019 03:18Kwa mara ya pili ndani ya wiki moja, wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Saudi Arabia katika mji mkuu wa Uingereza, London kulaani ukatili wa hivi karibuni wa watawala wa Aal-Saud dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia.