Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Corbyn: Trump ni mbaguzi, Uingereza haipaswi kumtandikia 'zulia jekundu'

    Corbyn: Trump ni mbaguzi, Uingereza haipaswi kumtandikia 'zulia jekundu'

    Apr 27, 2019 03:10

    Kiongozi wa chama Leba nchini Uingereza amekosoa vikali mpango wa nchi hiyo wa kumpa mapokezi ya hali ya juu Rais Donald Trump atakapoitembelea nchini hiyo mwezi Juni mwaka huu, akisisitiza kuwa rais huyo wa Marekani ni mbaguzi na mtu mwenye hulka ya kuwadhalilisha na kuwatweza wanawake.

  • Bunge la Uingereza latahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia duniani

    Bunge la Uingereza latahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia duniani

    Apr 26, 2019 02:08

    Kamati ya Mahusiano ya Kimataifa ya Bunge la Uingereza imetoa taarifa inayoonya juu ya uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia kati ya nchi zenye silaha hizo.

  • Upinzani: Uingereza haipaswi kumkabidhi Julian Asange kwa Marekani

    Upinzani: Uingereza haipaswi kumkabidhi Julian Asange kwa Marekani

    Apr 12, 2019 10:27

    Kiongozi wa chama Leba nchini Uingereza amekosoa vikali kitendo cha kutiwa mbaroni mjini London mwasisi wa mtandao unaojishughulisha na kufichua siri na kashfa wa WikiLeaks, Julian Assange.

  • Maandamano yashuhudiwa London baada ya kukamatwa mwasisi wa Wikileaks

    Maandamano yashuhudiwa London baada ya kukamatwa mwasisi wa Wikileaks

    Apr 11, 2019 23:59

    Maandamano yameshuhudiwa nje ya ubalozi wa Ecuador mjini London baada ya polisi ya Uingereza kumtia mbaroni mwasisi wa mtandao unaofichua fedheha nyingi za nchi na viongozi mbalimbali duniani wa WikiLeaks, Julian Assange, ambaye amekuwa akiishi ubalozini hapo tokea mwaka 2012.

  • Mamia waandamana London, Uingereza dhidi ya utawala haramu wa Israel

    Mamia waandamana London, Uingereza dhidi ya utawala haramu wa Israel

    Mar 30, 2019 22:42

    Mamia ya watu wamejitokeza katika barabara za London, mji mkuu wa Uingereza kushiriki maandamano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Makomandoo wa Uingereza wajeruhiwa na vikosi vya Yemen

    Makomandoo wa Uingereza wajeruhiwa na vikosi vya Yemen

    Mar 24, 2019 03:27

    Duru mpya za habari zimefichua kuwa, makomandoo kadhaa wa Uingereza wamejeruhiwa katika makabiliano ya ana kwa ana na vikosi vya Yemen, na hivyo kuweka bayana kuwa serikali ya London imekuwa ikishiriki moja kwa moja katika vita vya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudia dhidi ya nchi hiyo maskini ya Kiarabu.

  • Waingereza waandamana London kutaka kufanyika kura mpya ya maoni kuhusu Brexit

    Waingereza waandamana London kutaka kufanyika kura mpya ya maoni kuhusu Brexit

    Mar 24, 2019 03:01

    Mamia ya maelfu ya wananchi wa Uingereza wamefanya maandamano katika mji mkuu London, kushinikiza kufanyika kura mpya ya maoni kuhusu suala la kujitoa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya (Brexit).

  • Misikiti mitano yavamiwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza

    Misikiti mitano yavamiwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza

    Mar 21, 2019 11:34

    Misikiti mitano imeshambuliwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza, wiki moja baada ya kutokea mashambulizi ya kigaidi nchini New Zealand na kuua makumi ya Waislamu na kujeruhi makumi ya wengine.

  • Waasi wanaotaka kujitenga Ireland wakiri kutuma mabomu London

    Waasi wanaotaka kujitenga Ireland wakiri kutuma mabomu London

    Mar 12, 2019 22:55

    Kundi la waasi la Irish Republican Army (IRA), ambalo linataka eneo la Ireland ya Kaskazini lijitenge na Uingereza limekiri kuhusika na utumaji wa vifurushi vya mabomu katika mji mkuu wa Uingereza, London na Scotland.

  • Wazazi wawarejesha vijana wao Somalia ili wasichomwe visu Uingereza

    Wazazi wawarejesha vijana wao Somalia ili wasichomwe visu Uingereza

    Mar 10, 2019 23:08

    Kutokana na kushtadi hujuma za visu nchini Uingereza, wazazi wa Kisomali wamewarejesha kwa wingi vijana wao nchini Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS