-
Saudia yapongeza kuwekwa Hizbullah katika orodha ya makundi ya kigaidi
Mar 05, 2019 11:07Saudi Arabia imeunga mkono na kupongeza hatua ya hivi karibuni ya Uingereza, ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon katika jalada lake la makundi ya kigaidi.
-
Qassemi: Uingereza haiwezi kudhoofisha irada ya Hizbullah ya kupambana na ugaidi na Israel
Mar 02, 2019 12:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hatua iliyochukuliwa hivi karibuni na Uingereza ya kuiweka harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa, hatua za aina hiyo zinazochukuliwa na serikali ya London hazitadhoofisha msimamo wa harakati hiyo wa kupambanana na "ugaidi na Uzayuni."
-
Taathira mbaya za ushirikiano wa Uingereza na muungano vamizi wa Saudia huko Yemen
Feb 25, 2019 09:11Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetangaza habari ya kuangamizwa wanajeshi 9 vamizi wa Uingereza katika mapigano yaliyotokea kati ya wapiganaji wa kujitolea wa Yemen na wanajeshi hao katika eneo la Najran la kusini mwa Saudi Arabia.
-
Maveterani wa UK: Tuliamrishwa tuwaue kwa kuwapiga risasi raia Iraq, Afghanistan
Feb 05, 2019 23:13Jeshi la Uingereza liliwaagiza askari wake wawaue kwa kuwafyatulia risasi raia wa Iraq na Afghanistan hata kama hawakuwa wamejizatiti kwa silaha.
-
Qassemi: Mkutano wa Warsaw ni wa kuleta hitilafu na mifarakano baina ya Iran na Ulaya
Jan 28, 2019 09:15Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kufanyika mkutano ulio dhidi ya Iran wa Warsaw Poland ni kuzusha hitilafu na mgawanyiko baina ya Iran na baadhi ya nchi za Ulaya.
-
Benki ya HSBC yajiunga na harakati ya kuisusia Israel
Dec 28, 2018 21:39Benki mashuhuri ya HSBC ambayo ni ya saba kwa ukubwa duniani imesitisha ushirikiano wake na kampuni ya kuzalisha silaha ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya Elbit Systems, kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza wakutana mjini Tehran
Nov 19, 2018 12:03Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uingereza leo wamekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran kuhusiana na masuala muhimu ya kieneo ukiwemo ulazima wa kuharakishwa kuhitimishwa vita nchini Yemen pamoja na matukio yanayojiri sasa katika Mashariki ya Kati.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza awasili Tehran
Nov 19, 2018 04:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amewasili Tehran kwa ajili ya mazungumzo na Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Iran na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa nchi hii huku akiongoza ujumbe wa kisiasa wa nchi yake.
-
Prince Charles akiri, Uingereza ilikuwa na mchango mkubwa katika biashara ya utumwa
Nov 06, 2018 11:11Mwanamfalme na mrithi wa kiti cha Malkia Elizabeth wa Uingereza amekiri kwamba, nchi yake ilikuwa na nafasi kubwa katika biashara ya utumwa na kusema kuwa, biashara hiyo ni miongoni mwa mateso ya kutisha yaliyosababisha aibu kubwa isiyoweza kufutika katika historia ya dunia.
-
Rais wa Lebanon: Madai ya Israel kuwa makombora yamehifadhiwa katika maeneo ya makazi, ni uongo
Nov 06, 2018 01:06Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema kuwa, madai ya utawala haramu wa Kizayuni juu ya kufichwa na wanamuqawama makombora katika maeneo ya makazi, ni uongo mtupu.