Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Oxfam: Sera za Uingereza juu ya Yemen ni za kukinzana

    Oxfam: Sera za Uingereza juu ya Yemen ni za kukinzana

    Nov 04, 2018 04:28

    Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limekosoa vikali hatua ya Uingereza ya kukataa kusimamisha uuzaji wa silaha zake kwa Saudi Arabia, ambazo mbali na kusababisha mauaji ya raia wa nchi maskini ya Yemen, pia zinatumika kuharibu misaada ya kibinadamu ya shirika hilo kwa Wayemen.

  • Uingereza: Kufungamana na JCPOA ni msingi wa uhusiano wetu na Iran

    Uingereza: Kufungamana na JCPOA ni msingi wa uhusiano wetu na Iran

    Oct 14, 2018 04:21

    Balozi wa Uingereza nchini Iran amesema kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama mapatano ya kimataifa ni msingi wa uhusiano wa London na Tehran.

  • Wikileaks: Saudia imeyahonga magazeti ya UK ili yasiripoti mauaji ya Khashoggi

    Wikileaks: Saudia imeyahonga magazeti ya UK ili yasiripoti mauaji ya Khashoggi

    Oct 09, 2018 03:58

    Mtandao wa WikiLeaks umefichua kuwa, magazeti ya Uingereza hayajaakisi habari za mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia aliyeuliwa katika ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki, kwa kuwa yamemwagiwa pesa na utawala wa Riyadh.

  • Korea Kaskazini na China zatoa onyo kwa Marekani na Japan kwa kufanya pamoja maneva ya majeshi ya anga na baharini

    Korea Kaskazini na China zatoa onyo kwa Marekani na Japan kwa kufanya pamoja maneva ya majeshi ya anga na baharini

    Sep 29, 2018 21:56

    Huku maneva ya kijeshi ya pamoja kati ya Japan na nchi za Magharibi yanayoyashirikisha majeshi ya anga na baharini yakiendelea, serikali za Korea Kaskazini na China zimetoa onyo kali na kuItaja Luteka hiyo kuwa ni hatari kubwa kwa ajili ya usalama na amani ya maeneo ya mashariki na kusini mwa Asia.

  • Waziri Mkuu wa Uingereza apinga kunyongwa magaidi wa ISIS

    Waziri Mkuu wa Uingereza apinga kunyongwa magaidi wa ISIS

    Jul 23, 2018 09:35

    Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amesema serikali yake itapinga vikali hukumu ya kuonyongwa magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS au Daesh ambao ni raia wa nchi hiyo.

  • Ripoti: Kiwango cha chuki dhidi ya Uislamu Uingereza kimevunja rekodi

    Ripoti: Kiwango cha chuki dhidi ya Uislamu Uingereza kimevunja rekodi

    Jul 22, 2018 09:38

    Ripoti mpya ya asasi isiyokuwa ya kiserikali imesema uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu na matukufu yao umeongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi nchini Uingereza.

  • Ripoti: Uingereza inawatumia watoto kama majasusi

    Ripoti: Uingereza inawatumia watoto kama majasusi

    Jul 20, 2018 20:49

    Ripoti mpya ya Bunge la Uingereza imefichukua kuwa, polisi na idara za kijasusi nchini humo zinawatumia watoto wadogo katika operesheni hatarishi za kijasusi.

  • Waislamu Uingereza walalamikia chuki dhidi ya Uislamu katika chama tawala cha Conservative

    Waislamu Uingereza walalamikia chuki dhidi ya Uislamu katika chama tawala cha Conservative

    Jun 06, 2018 23:09

    Zaidi ya misikiti 350 na jumuiya za Kiislamu nchini Uingereza zimetaka uchunguzi ufanyike kuhusu chuki dhidi ya Uislamu miongoni mwa wanachama wa ngazi za juu wa chama tawala cha Conservative.

  • Waingereza wahamakishwa na gharama kubwa katika harusi ya Mwanamfalme

    Waingereza wahamakishwa na gharama kubwa katika harusi ya Mwanamfalme

    May 20, 2018 03:45

    Wananchi wa Uingereza wameghadhabishwa mno na gharama kubwa za harusi ya Mwanafalme wa nchi hiyo, Harry na muigizaji wa Marekani, Meghan Markle iliyofanyika jana Jumamosi.

  • Wananchi wa Uingereza: Tutaandamana dhidi ya Trump

    Wananchi wa Uingereza: Tutaandamana dhidi ya Trump

    Apr 27, 2018 03:34

    Makumi ya maelfu ya wananchi wa Uingereza wametangaza kuwa wapo tayari kushiriki katika maandamano dhidi ya ziara ya Rais Donald Trump wa Mareani mjini London.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS