-
Hata UK, Ujerumani na Ufaransa nazo pia zalaani hatua ya Israel ya kuzuia misaada isiingizwe Ghaza
Apr 24, 2025 04:12Ufaransa, Ujerumani na Uingereza nazo pia zimelaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuendelea kuzuia kikamilifu misaada ya kibinadamu isiingizwe katika Ukanda wa Ghaza, na kutoa wito wa kuanzishwa mara moja utoaji misaada bila vizuizi sambamba na juhudi mpya za kusitisha mapigano.
-
Mdororo wa uchumi Ujerumani; Siemens kuwafuta kazi watu 6,000
Mar 20, 2025 03:08Kampuni kubwa ya masuala ya uhandisi na teknolojia ya Siemens imesema inapania kupunguza kazi karibu 6,000 duniani kote, zikiwemo 2,850 nchini Ujerumani.
-
Ubelgiji yalilaumu vikali Baraza la Usalama kwa kushindwa kulinda misingi ya Hati ya UN
Feb 26, 2025 11:38Naibu waziri mkuu wa Ubelgiji Maxime Prevot amesema "amesikitishwa sana" kuona Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshindwa kutuma ujumbe wazi wa kuunga mkono sheria za kimataifa, na akatoa wito wa kuchukuliwa hatua kali zaidi za kimataifa za kulinda haki za binadamu na kuwawajibisha wakiukaji wa sheria.
-
Ujerumani yajitutumua, yatoa onyo dhidi ya Marekani
Feb 22, 2025 11:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema Ulaya haipaswi kusita kuweka mashinikizo dhidi ya Marekani, iwapo Washington itashindwa kukumbatia 'demokrasia ya kiliberali'.
-
Waziri Mkuu wa Italia: EU isichukue msimamo unaogongana na wa Marekani katika kadhia ya Ukraine
Feb 18, 2025 13:41Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni amesema, Umoja wa Ulaya haupaswi kuchukua msimamo ambao utakinzana na sera ya Marekani kuhusu Ukraine. Hayo ni kwa mujibu wa shirika rasmi la habari la Italia ANSA.
-
Vita vya ushuru vya Trump: Scholz aapa kujibu mapiga papo hapo
Feb 11, 2025 02:44Kansela wa Ujerumani ameonya kwamba iwapo Marekani itaweka ushuru wa ziada kwa bidhaa za Umoja wa Ulaya (EU), watu wa Ulaya watajibu mapigo "ndani ya saa moja."
-
Ujerumani yakosoa vikali hatua ya Trump ya kuiwekea vikwazo ICC
Feb 08, 2025 11:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amekosoa vikali hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Shambulio la kisu Ujerumani, wawili wauawa
Jan 23, 2025 02:49Watu wawili, yaani mtu mzima na mtoto mmoja, waliuawa katika shambulio la kudungwa kisu nchini Ujerumani jana Jumatano.
-
Muhammad; Jina pendwa na maarufu zaidi katika mji mkuu wa Ujerumani
Dec 31, 2024 07:44Jina "Muhammad" limetangazwa kuwa ndilo jina pendwa na maarufu zaidi kwa watoto wa kiume katika miji ya Ujerumani ya Berlin na Brandenburg katika mwaka unaomalizika leo wa 2024.
-
Ripota Maalumu wa UN afichua nafasi ya Ujerumani na Marekani katika mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Dec 28, 2024 07:31Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu na Kupambana na Ugaidi amesema: Marekani na Ujerumani zinadhamini asilimia 99 ya silaha za utawala wa Kizayuni wa Israel na inawezekana kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi ya nchi hizo.