-
Spiegel: Serikali ya Ujerumani imeidhinisha kutuma kiasi kikubwa cha silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 26, 2024 06:50Jarida la Spiegel limetangaza kuwa serikali ya Ujerumani imeidhinisha kutumwa kiasi kikubwa cha silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendeza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda Gaza.
-
Ukatili wa kijinsia unazidi kuongezeka Kenya, matukio zaidi ya 7,000 yameripotiwa katika mwaka mmoja
Dec 25, 2024 06:54Kenya inakabiliwa na ongezeko la kutisha la ukatili wa kijinsia, baada ya kesi zaidi ya 7,100 kuripotiwa tangu Septemba 2023, ikiwa ni pamoja na mauaji 100 yaliyorekodiwa ya wanawake tangu Agosti mwaka huu. Hayo ni kwa mujibu wa rekodi za serikali.
-
Kharrazi: Kuna muelekeo wa Iran kuongeza umbali wa masafa yatakakofika makombora yake
Nov 02, 2024 07:41Kamal Kharrazi, Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Mahusiano ya Nje la Iran amesema, kuna muelekeo wa Jamhuri ya Kiislamu kuongeza umbali wa masafa yatakakofika makombora yake, akionya kuwa Tehran inaweza kubadilisha mwongozo wake wa kijeshi iwapo itakabiliwa na kitisho cha kuhatarisha uwepo wake.
-
Kuongezeka uhasama na chuki dhidi ya Waislamu barani Ulaya
Oct 28, 2024 06:58Kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya ukatili dhidi ya Waislamu katika nchi mbalimbali za Ulaya kumewatia wasiwasi viongozi wengi wa nchi za bara hilo juu ya matokeo ya mwenendo huo.
-
Ujerumani yaondoa wanajeshi wake wa mwisho Niger baada ya kutimuliwa
Aug 31, 2024 10:59Ujerumani imeviondoa vikosi vyake vya kijeshi kutoka nchi ya Niger katika eneo lenye machafuko la Sahel barani Afrika.
-
Ujerumani yakosolewa kwa kumfukuza mwanachuoni wa Kiislamu
Aug 30, 2024 02:42Watumiaji wa mitandao ya kijamii wameikosoa vikali serikali ya Ujerumani kwa kumtimua nchini humo mwanachuoni mmoja mashuhuri wa Kiislamu.
-
Ulaya yaendelea kushuhudia maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina
Jul 29, 2024 02:56Wananchi wa nchi mbalimbali za barani Ulaya kwa mara nyingine wamefanya maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Gaza, Palestina.
-
Marekani yahamisha silaha zilizopigwa marufuku kutoka Ujerumani kwenda Ukraine
Jul 28, 2024 08:04Vyombo vya habari vya Ujerumani vimefichua kuwa nchi hii inahifadhi mabomu yaliyopigwa marufuku ya vishada ya Marekani na kwamba inapanga kuyahamishia Ukraine.
-
Hatua mpya ya Ujerumani dhidi ya Uislamu, kupigwa marufuku kazi za kituo cha Kiislamu
Jul 26, 2024 10:34Serikali ya Ujerumani imepiga marufuku shughuli za kituo cha Kiislamu cha Hamburg na taasisi tanzu za kituo hicho licha ya umuhimu wake mkubwa kwa Waislamu.
-
Marekani na Ujerumani; Wauzaji silaha wakuu kwa utawala katili wa Israeli
Jul 21, 2024 07:25Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza katika ripoti yake kwamba kati ya asilimia 99 ya silaha zilizoagizwa na utawala wa Israel unaofanya mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza kati ya mwaka 2019 na 2023, asilimia 69 ilitoka Marekani na asilimia nyingine 30 kutoka Ujerumani.