-
Hatua mpya ya Ujerumani dhidi ya Uislamu, kupigwa marufuku kazi za kituo cha Kiislamu
Jul 26, 2024 10:34Serikali ya Ujerumani imepiga marufuku shughuli za kituo cha Kiislamu cha Hamburg na taasisi tanzu za kituo hicho licha ya umuhimu wake mkubwa kwa Waislamu.
-
Marekani na Ujerumani; Wauzaji silaha wakuu kwa utawala katili wa Israeli
Jul 21, 2024 07:25Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza katika ripoti yake kwamba kati ya asilimia 99 ya silaha zilizoagizwa na utawala wa Israel unaofanya mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza kati ya mwaka 2019 na 2023, asilimia 69 ilitoka Marekani na asilimia nyingine 30 kutoka Ujerumani.
-
UK, Ufaransa na Ujerumani zaonywa kwa kutuma ndege kuilinda Israel katika Operesheni ya Ahadi ya Kweli
May 16, 2024 07:25Brigedia Jenerali Esmail Qa’ani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametoa onyo kwa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa baada ya nchi hizo tatu za Troika ya Ulaya kupeleka ndege zao za kivita kuulinda utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya operesheni ya kulipiza kisasi ya Ahadi ya Kweli iliyofanywa na Iran mwezi uliopita wa Aprili.
-
Utafiti: Wahamiaji nchini Ujerumani wanakabiliwa na umaskini kutokana na ubaguzi wa rangi
May 08, 2024 02:22Utafiti mpya umebaini kuwa, wahamiaji nchini Ujerumani wanakabiliwa na hatari kubwa ya umaskini kutokana na ubaguzi wa rangi. Haya ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Kituo cha Utangamano na Utafiti wa Masuala ya Wahamiaji cha Ujerumani.
-
Amir Abdollahian: Kujilinda kwa lengo la kumuadhibu mchokozi ni jambo la lazima
Apr 12, 2024 03:27Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unapokiuka kikamilifu kinga ya watu binafsi na maeneo ya kidiplomasia kwa kukanyaga sheria za kimataifa na Mikataba ya Vienna, inakuwa lazima kujihami kwa lengo la kumuadhibu mchokozi.
-
Taasisi ya utafiti Ujerumani yamfuta kazi profesa kwa kuitetea Palestina
Feb 12, 2024 04:38Taasisi moja mashuhuri ya utafiti nchini Ujerumani imempiga kalamu nyekundu profesa wa anthropolojia anayeiunga mkono Palestina, baada ya msomi huyo kukosoa mashambulizi yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Nicaragua yazishtaki ICJ Ujerumani, UK, Uholanzi na Canada kwa kuisaidia Israel katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina
Feb 07, 2024 03:49Serikali ya Nicaragua imezishitaki Ujerumani, Uingereza, Uholanzi na Canada katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina.
-
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Poland waandamana kupinga uungaji mkono wa Ujerumani kwa Israel
Jan 26, 2024 03:18Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Warsaw nchini Polanda wameandamana kupinga uungaji mkono wa serikali ya Ujerumani kwa utawala wa Kizayuni.
-
Hujuma dhidi ya Waislamu, misikiti Ujerumani zimeongezeka tokea Oktoba 7
Jan 19, 2024 07:35Hisia za chuki dhidi ya Uislamu, Waislamu na matukufu yao zimeripotiwa kuongezeka kwa kiwango cha kutisha nchini Ujerumani, tangu utawala haramu wa Israel ulipoanzisha mashambulio yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7 mwaka uliopita 2023.
-
Namibia yaikumbusha Ujerumani kwamba ilifanya mauaji ya kwanza ya kimbari ya karne ya 20
Jan 14, 2024 13:13Namibia imepinga uungaji mkono wa Ujerumani kwa msimamo wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki, (ICJ) ambapo inakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.