-
Polisi ya Ujerumani yavamia vituo 54 vya Kiislamu
Nov 18, 2023 03:49Jeshi la polisi la Ujerumani juzi Alkhamisi lilishambulia vituo zaidi ya 50 vya Waislamu kikiwemo Kituo cha Kiislamu cha Hamburg (IZH); huku mashambulio ya kibaguzi dhidi ya Waislamu yakiripotiwa kukithiri katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
40% ya wanaume Waislamu Ujerumani wanakabiliwa na ubaguzi
Nov 08, 2023 06:09Utafiti mpya umefichua kuwa, asilimia 40 ya wanaume Waislamu nchini Ujerumani wanakabiliwa na vitendo vya ubaguzi katika maisha yao ya kila siku, huku hujuma na mashambulio ya kibaguzi dhidi ya Waislamu yakiripotiwa kukithiri katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika Ujerumani, Italia
Nov 05, 2023 13:41Maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin kushiriki maandamano ya kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina, huku idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi hadi sasa katika mashambulizi dhidi ya Ukanda wa Gaza ikipindukia 10,000.
-
Ujerumani yapiga marufuku kuvaa skafu za Palestina maskulini
Oct 14, 2023 13:36Viongozi wa Ujerumani wamepiga marufuku rasmi kuvaa leso na skafu za Palestina maskulini ikiwa ni kuendelea kuunga mkono waziwazi jinai na mauaji ya watoto wadogo na wanawake wa Palestina yanafanywa hivi sasa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza.
-
Ujerumani yapinga usitishawaji vita huko Gaza
Oct 14, 2023 08:00Ujerumani haikuunga mkono mpango wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF kwa ajili ya kusimamishwa vita huko Gaza.
-
Maelfu waandamana Ujerumani kupinga kupewa silaha Ukraine
Oct 05, 2023 03:15Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji wa Munich, kusini mwa Ujerumani kupinga vita na kupewa silaha Ukraine.
-
Kupungua uzalishaji wa viwanda nchini Ujerumani; sababu na matokeo yake
Sep 09, 2023 10:52Wizara ya Uchumi na Teknolojia ya Ujerumani imeripoti kwamba uzalishaji wa viwanda nchini Julai iliyopita ulishuka kwa kasi kuliko ilivyotarajiwa, na hivyo kuweka wazi matatizo yanayoukabili uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya.
-
Faida nono ya sekta ya silaha ya Marekani kutokana na Washington kuzusha mgogoro barani Ulaya
Aug 23, 2023 02:16Katika kipidi cha miezi 18 ya vita nchini Ukraine, moto wa vita hivyo haribifu umezidi kuwaka na kuchukua wigo mpana zaidi kutokana na sera haribifu za nchi za Magharibi, ambazo zimepeleka nchini Ukraine msaada mkubwa zaidi wa kijeshi na kisilaha ambao haujawahi kushuhudiwa.
-
Wasiwasi wa Waislamu Ujerumani wa kuongezeka hujuma dhidi ya misikiti
Aug 17, 2023 07:24Mamilioni ya Waislamu nchini Ujerumani wana wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa wimbi la chuki dhidi ya Uislamu na hujuma na mashambulio dhidi ya misikiti nchini humo.
-
Qurani yachomwa moto na kutupwa nje ya Msikiti nchini Ujerumani
Jul 11, 2023 07:26Huku Waislamu katika kona zote za dunia wakiendelea kulaani na kupinga tukio la hivi karibuni la kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden, Kitabu hicho kitukufu cha Waislamu kimechomwa moto na kutupwa nje ya Msikiti mmoja nchini Ujerumani.