-
Sergei Lavrov:Hati ya usalama wa taifa wa Ujerumani ni kinyume ni maslahi ya raia wake
Jun 19, 2023 09:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameashiria hati mpya ya usalama wa taifa wa Ujerumani na kusema: Hati hiyo iko kinyume na maslahi na mantiki ya watu wa nchi hiyo.
-
Ununuzi wa mafuta kutoka Iran, nembo ya kufeli sera za vikwazo za Magharibi
Jun 15, 2023 02:23Takwimu mpya zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya (Eurostat) zinaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2018, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta au bidhaa za petroli kutoka Iran licha ya vikwazo vya Marekani.
-
Ujerumani yanunua mafuta ya Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Jun 13, 2023 06:34Data zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya cha Eurostat zimefichua kuwa, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta kutoka Iran kwa mara ya kwanza tokea mwaka 2018, licha ya vikwazo vya Marekani.
-
Utafiti: Wanaume wa Ujerumani wanaunga mkono unyanyasaji dhidi ya wanawake
Jun 12, 2023 08:00Matokeo ya utafiti uliofanyika nchini Ujerumani yanaonyesha kuwa zaidi ya theluthi moja ya wanaume nchini humo wanaona kuwa unyanyasaji dhidi ya wanawake "unakubalika".
-
Idara ya Kuzuia Uhalifu Ujerumani: Makumi ya misikiti imeshambuliwa nchini
May 16, 2023 01:31Idara ya Kuzuia Uhalifu ya Ujerumani imetangaza kwamba makumi ya mashambulizi dhidi ya misikiti yamesajiliwa nchini humo mwaka 2022.
-
Ujerumani: Tunaunga mkono Afrika iwe mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la UN
May 06, 2023 12:12Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani amesema nchi yake inaunga mkono mpango wa bara la Afrika kuwa na uwakilishi wa kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Ushahidi mpya wa madai ya uwongo ya Wamagharibi kuhusu uhuru wa kujieleza
May 01, 2023 10:09Filamu ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii imemuonyesha mtoto mdogo wa Kiislamu akiondolewa kwa nguvu katika familia yake ya Kiislamu na maafisa wa "huduma za ulinzi wa watoto" wakisaidiwa na askari polisi wa Ujerumani. Maafisa wa Ujerumani wanadai kuwa wazazi wa mtoto huyo wamekuwa wakimfundisha kwamba mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja hayakubaliki katika Uislamu.
-
Wazazi Waislamu wanyang'anywa mtoto wao Ujerumani, kosa ni kumfunza kuwa LGBTQ haikubaliki katika Uislamu
Apr 29, 2023 11:07Filamu ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii imemuonyesha mtoto mdogo wa Kiislamu akiondolewa kwa nguvu katika familia yake ya Kiislamu na maafisa wa "huduma za ulinzi wa watoto" na askari polisi wa Ujerumani kwa sababu wazazi wake wanadaiwa kumfundisha kwamba mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja hayakubaliki katika Uislamu.
-
Kuongezeka gharama za kijeshi za Ulaya baada ya Vita Baridi kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa
Apr 28, 2023 12:51Matumizi ya kijeshi barani Ulaya katika mwaka ulipoita wa 2022 yalipita kiwango hata cha kipindi zilipomalizika enzi za Vita Baridi.
-
Kanani Chafi: Iran haimuombi yoyote ruhusa katika kupambana na ugaidi
Apr 28, 2023 07:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu matamshi ya uingiliaji kati ya viongozi wa Ujerumani kuhusu hukumu iliyotolewa hapa nchini dhidi ya kiongozi wa kundi la kigaidi la "Tondar" na kueleza kuwa: Iran haitamuomba yoyote ruhusa katika mapambano yake dhidi ya ugaidi na kutekeleza uadilifu dhidi ya magaidi.