-
Namibia yaikumbusha Ujerumani kwamba ilifanya mauaji ya kwanza ya kimbari ya karne ya 20
Jan 14, 2024 09:43Namibia imepinga uungaji mkono wa Ujerumani kwa msimamo wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki, (ICJ) ambapo inakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Polisi ya Ujerumani yavamia vituo 54 vya Kiislamu
Nov 18, 2023 00:19Jeshi la polisi la Ujerumani juzi Alkhamisi lilishambulia vituo zaidi ya 50 vya Waislamu kikiwemo Kituo cha Kiislamu cha Hamburg (IZH); huku mashambulio ya kibaguzi dhidi ya Waislamu yakiripotiwa kukithiri katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
40% ya wanaume Waislamu Ujerumani wanakabiliwa na ubaguzi
Nov 08, 2023 02:39Utafiti mpya umefichua kuwa, asilimia 40 ya wanaume Waislamu nchini Ujerumani wanakabiliwa na vitendo vya ubaguzi katika maisha yao ya kila siku, huku hujuma na mashambulio ya kibaguzi dhidi ya Waislamu yakiripotiwa kukithiri katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika Ujerumani, Italia
Nov 05, 2023 10:11Maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin kushiriki maandamano ya kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina, huku idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi hadi sasa katika mashambulizi dhidi ya Ukanda wa Gaza ikipindukia 10,000.
-
Ujerumani yapiga marufuku kuvaa skafu za Palestina maskulini
Oct 14, 2023 10:06Viongozi wa Ujerumani wamepiga marufuku rasmi kuvaa leso na skafu za Palestina maskulini ikiwa ni kuendelea kuunga mkono waziwazi jinai na mauaji ya watoto wadogo na wanawake wa Palestina yanafanywa hivi sasa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza.
-
Ujerumani yapinga usitishawaji vita huko Gaza
Oct 14, 2023 04:30Ujerumani haikuunga mkono mpango wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF kwa ajili ya kusimamishwa vita huko Gaza.
-
Maelfu waandamana Ujerumani kupinga kupewa silaha Ukraine
Oct 04, 2023 23:45Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji wa Munich, kusini mwa Ujerumani kupinga vita na kupewa silaha Ukraine.
-
Kupungua uzalishaji wa viwanda nchini Ujerumani; sababu na matokeo yake
Sep 09, 2023 07:22Wizara ya Uchumi na Teknolojia ya Ujerumani imeripoti kwamba uzalishaji wa viwanda nchini Julai iliyopita ulishuka kwa kasi kuliko ilivyotarajiwa, na hivyo kuweka wazi matatizo yanayoukabili uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya.
-
Faida nono ya sekta ya silaha ya Marekani kutokana na Washington kuzusha mgogoro barani Ulaya
Aug 22, 2023 22:46Katika kipidi cha miezi 18 ya vita nchini Ukraine, moto wa vita hivyo haribifu umezidi kuwaka na kuchukua wigo mpana zaidi kutokana na sera haribifu za nchi za Magharibi, ambazo zimepeleka nchini Ukraine msaada mkubwa zaidi wa kijeshi na kisilaha ambao haujawahi kushuhudiwa.
-
Wasiwasi wa Waislamu Ujerumani wa kuongezeka hujuma dhidi ya misikiti
Aug 17, 2023 03:54Mamilioni ya Waislamu nchini Ujerumani wana wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa wimbi la chuki dhidi ya Uislamu na hujuma na mashambulio dhidi ya misikiti nchini humo.