-
Merkel aitaka jamii ya kimataifa kuzungumza na Taliban
Aug 25, 2021 23:14Kinyume kabisa na msimamo wa Umoja wa Ulaya kuhusu kundi la wanamgambo wa Taliban la Afghanistan, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameitolea mwito jamii ya kimataifa kufanya mazungumzo na kundi hilo.
-
Sisitizo la viongozi wa Ufaransa, Ujerumani na China la udharura wa kuhuishwa JCPOA
Jul 06, 2021 21:51Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, na Rais Xi Jinping wa China wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kutoa wito kwa pande zinazofanya mazungumzo huko Vienna kwa ajili ya kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutumia vyema fursa iliyopo ya "Dirisha la Fursa" kwa ajili ya kufikia makubaliano kuhusiana na kadhia hiyo.
-
Ujerumani yakamilisha mchakato wa kuondoa askari wake Afghanistan; US?
Jun 30, 2021 06:40Ujerumani imetangaza kuwa imemaliza mchakato wa kuwaondoa wanajeshi wake huko Afghanistan, huku Marekani ikiripotiwa kuwa inapanga kuwaacha mamia ya wanajeshi wake nchini humo.
-
Ujerumani: Mazungumzo ya JCPOA yapo katika hatua za mwisho
Jun 07, 2021 22:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema mazungumzo kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanayoendelea huko Vienna, Austria yapo katika kipindi cha lala salama.
-
Ujerumani kuchungua ujasusi wa Marekani na Denmark dhidi ya viongozi wa EU
May 31, 2021 22:21Msemaji wa serikali ya Ujerumani ameeleza msimamo wa Berlin baada ya kufichuliwa ujasusi uliofanywa na Idara ya Usalama wa Taifa ya Marekani na Shirika la Ujasusi la Denmark kwa viongozi wa Ulaya.
-
Kukiri Ujerumani kwamba ilihusika na mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Namibia, ushahidi mwingine wa jinai dhidi ya binadamu za nchi za Magharibi
May 29, 2021 09:40Kwa mara ya kwanza kabisa Ujerumani imekiri kwamba, ilifanya mauaji ya kimbari dhidi watu wa Namibia katika kipindi cha ukoloni wa nchi hiyo barani Afrika.
-
Upinzani wa Ujerumani na Ufaransa wa kufanyika maandamano dhidi ya Israel; nembo ya uungaji mkono wa Magharibi kwa jinai za Wazayuni
May 15, 2021 05:26Baada ya kuwaka moto wa vita na mapigano baina ya utawala haramu wa Israel na Wapalestina katika siku za hivi karibuni, madola ya Magharibi yamefumbia macho kabisa jinai za Tel-Aviv hususan hujuma na mashambulio ya anga na kulishambulia kwa mabomu eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Kupasishwa marufuku ya hijabu kwa wafanyakazi wa serikali katika Bunge la Ujerumani
May 11, 2021 20:14Baraza la Juu la Bunge la Ujerumani (Bundesrat) limepasisha sheria inayowapiga marufuku wafanyakazi wa serikali na polisi kuvaa vazi la hijabu.
-
Mwanafalsafa mtajika wa Ujerumani akataa tuzo ya kifahari ya UAE
May 03, 2021 21:03Msomi na mwanafalsafa mashuhuri wa Ujerumani amekataa kupokea tuzo ya kifahari ya uandishi wa vitabu kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu kutokana na kile kinachoonekana ni kutoafiki mfumo wa kisiasa wa nchi hiyo ya Kiarabu na historia yake ya ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Utafiti: Idadi ya Waislamu imeongezeka nchini Ujerumani
Apr 29, 2021 07:40Uchunguzi uliofanywa na Idara ya Uhamiaji na Wakimbizi ya Ujerumani umebaini kuwepo ongeseko kubwa la idadi ya Waislamu nchini humo katika miaka ya karibuni.