Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ujerumani

  • Merkel aikosoa Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji

    Merkel aikosoa Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji

    Apr 20, 2016 03:18

    Chansela wa Ujerumani amekosoa hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu na kusema kuwa ujenzi huo unazuia mchakato wa amani.

  • Ujerumaini kufukuza wakimbizi zaidi

    Ujerumaini kufukuza wakimbizi zaidi

    Apr 09, 2016 22:36

    Mratibu wa masuala ya wakimbizi wa serikali ya Ujerumaini amesema kuwa, nchi hiyo inapaswa kuongeza idadi ya wakimbizi inaowarudisha makwao.

  • Ujerumani: Trump ni hatari kwa amani na usalama wa dunia

    Ujerumani: Trump ni hatari kwa amani na usalama wa dunia

    Mar 06, 2016 21:48

    Makamu Chansela wa Ujerumani amesema Donald Trump, mgombea wa kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican ni hatari kwa amani na maendeleo duniani.

  • Wito wa kimataifa wa kudhamini usalama wa wakimbizi

    Wito wa kimataifa wa kudhamini usalama wa wakimbizi

    Feb 21, 2016 04:48

    Taasisi kadhaa za kimataifa zimetoa wito wa kudhaminiwa usalama na kulindwa maisha ya wakimbizi wanaojaribu kuingia Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranea.

  • Mwalimu Muirani auawa nchini Ujerumani

    Mwalimu Muirani auawa nchini Ujerumani

    Feb 13, 2016 11:48

    Vyombo vya habari vya Ujerumani vimetangaza kuwa mwalimu mmoja Muirani ameuawa katika mazingira ya kutatanisha katika mji wa Celle nchini humo.

  •  Rais Rouhani: Ugaidi ni hatari kwa dunia nzima

    Rais Rouhani: Ugaidi ni hatari kwa dunia nzima

    Feb 03, 2016 10:41

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa matukio ya miezi iliyopita yanaonyesha kuwa ugaidi ni hatari kwa wote ukiwemo Umoja wa Ulaya.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS