• Hamas yaonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Ghaza

    Hamas yaonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Ghaza

    Apr 06, 2016 02:59

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina, Hamas, ameonya kuhusu maafa ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mzingiro wa kinyama wa utawala haramu wa Israel katika eneo hilo.

  • Kuendelea harakati za kimataifa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Palestina

    Kuendelea harakati za kimataifa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Palestina

    Mar 01, 2016 23:17

    Kuendelea hatua zisizo za kibinadamu za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina sambamba na kuendelea mzingiro dhidi ya Gaza na vile vile hujuma na uvamizi wa mara kwa mara wa utawala huo dhidi ya Ukanda wa Gaza unaofanyika kwa baraka za Marekani, kumelifanya eneo hilo kukabiliwa na hali mbaya mno ya kibinadamu.

  • Hamas yaionya Israel kuhusu vita

    Hamas yaionya Israel kuhusu vita

    Feb 26, 2016 23:33

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya kuibuka tetesi kuwa utawala huo unapanga kuanzisha vita vipya dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

  • Misri yafunga tena kivuko cha Rafah

    Misri yafunga tena kivuko cha Rafah

    Feb 17, 2016 03:41

    Misri imefunga tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina walio chini ya mzingiro huko Ghaza.