-
Wasiwasi kuhusu hasara za Ulaya katika vita vya Ukraine
Dec 05, 2022 04:16Baada ya kupita takriban miezi 10 tangu kuanza vita vya Ukraine na thari zake mbaya, mkuu wa Baraza la Ulaya amekiri kwamba, nchi za bara hilo zimepata hasara zaidi katika vita hivyo kuliko Marekani.
-
Russia: UN inapuuza ukatili dhidi ya wanawake wa Ukraine nchini Sweden
Dec 04, 2022 03:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Umoja wa Mataifa na mashirika ya kutetea haki za binadamu yanafumbia macho dhulma, unyanyasaji na ukatili dhidi ya wanawake wakimbizi wa Ukraine walioko Sweden.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO waweka kando suala la kujiunga Ukraine na jumuiya hiyo
Dec 01, 2022 07:39Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Slovenia Jumanne wiki hii alisema kwamba kujiunga Ukraine na muungano wa NATO si kadhia inayojadili kwa sasa na nchi wanachama wa muungano huo wa kijeshi. Tanja Fajon ameyasema hayo katika kikao cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO)
-
NATO: Ulaya inakabiliwa na 'wakati mgumu' kwa kuipa himaya Ukraine
Nov 28, 2022 03:23Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) amekiri kuwa, kuiunga mkono Ukraine katika vita dhidi ya Russia kumezipelekea nchi za Ulaya kukumbwa na matatizo mengi ukiwemo mfumko wa bei.
-
Uingereza yakiri, silaha zinazopelekwa Ukraine kutwaliwa na magaidi
Nov 21, 2022 07:32Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kitaifa wa Jinai nchini Uingereza (NCA) amesema silaha zinazopelekwa Ukraine na nchi za Magharibi yumkini zikafanyiwa magendo na kuishia mikononi mwa magenge ya wahalifu na magaidi katika kona mbalimbali za dunia.
-
Russia: Ukraine inawaua kikatili mateka wa kivita
Nov 20, 2022 23:03Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa wanajeshi wa Ukraine wanafanya mauaji ya kikatili dhidi ya mateka wa kivita wa Russia.
-
UN: Haijulikani vita kati ya Ukrane na Russia vitamalizika lini
Nov 17, 2022 06:56Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa, hakuna ishara zozote zinazoashiria kufikia ukomo mapigano huko Ukraine.
-
Stoltenberg: Hakuna ishara Russia inapanga kuishambulia NATO
Nov 17, 2022 03:40Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) amesema hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa Russia inapanga kufanya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya nchi za NATO.
-
Madai ya shambulio la kombora la Russia dhidi ya Poland: Njama za kuzusha mgogoro mpya wa Magharibi dhidi ya Moscow
Nov 16, 2022 22:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetangaza kuwa: "Siku ya Jumanne alasiri, kombora la jeshi la Russia lilipiga kijiji cha "Przewodów" mashariki mwa Poland kilichoko umbali wa kilomita sita kutoka kwenye mpaka wa Ukraine, na kuua Wapoland wawili."
-
Marekani yaitaka Ukraine ifanye mazungumzo ya amani na Russia
Nov 14, 2022 07:12Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wameanzisha kampeni ya kuishawishi Ukraine itafakari juu ya suala la kufanya mazungumzo ya amani na Russia, wakihofia kuwa msimu wa baridi kali yumkini ukaikwamisha serikali ya Kiev baada ya eti kupata ushindi wa kulidhibiti tena eneo la Kherson.