-
Vence adai Ulaya itakuwa hatari kwa Marekani, kwa kuwa eti itatawaliwa na Waislamu
Dec 23, 2025 11:56Makamu wa Rais wa Marekani J.D. Vance amedai kuwa, Ulaya Magharibi yenye silaha za nyuklia inaweza kuwa hatari kubwa ya kiusalama kwa Marekani ikiwa utambulisho wa kitaifa wa nchi zake utaendelea kubadilika kutokana na uhamiaji mkubwa unaofanyika katika nchi hizo.
-
Ulaya na kupuuzwa nchi maskini; wakati kaulimbiu za haki za binadamu zinapopoteza maana yake
Dec 23, 2025 04:19Ulaya imefadhilisha kutoa misaada yake kwa Ukraine kuliko kutoa misaada hiyo kwa nchi maskini hasa za Afrika.
-
Hungary: Mpango wa EU wa kuiba mali za Russia ni 'tangazo la vita'
Dec 16, 2025 06:30Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban ametahadharisha kuwa, hatua yoyote ya Umoja wa Ulaya ya kutwaa milki na fedha za Russia zilizozuiliwa bila idhini ya Budapest ni kukiuka sheria za Ulaya na itakuwa sawa na "tangazo la vita."
-
Kuongezeka idadi ya nchi zilizosusia Mashindano ya Eurovision kulalamikia kushirikishwa utawala wa Kizayuni
Dec 13, 2025 09:24Idadi ya nchi zilizosusia mashindano ya Eurovision zikipinga kushirikishwa utawala wa Kizayuni katika mashindano hayo, imeongezeka.
-
Papa Leo: Chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya zinachochewa na wanaotaka kuwatenga wengine
Dec 03, 2025 10:48Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amesema, chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) barani Ulaya mara nyingi huchochewa na wale wanaotaka kuwatenga watu wa imani na mbari tofauti na zao.
-
Kwa nini Ulaya imechukua mkondo wa sera kali dhidi ya wakimbizi?
Nov 26, 2025 02:36Ujerumani inataka kuweka sheria kali zaidi dhidi ya wakimbizi na wahamiaji, na inapanga kufukuza nchini humo idadi kubwa ya wakimbizi.
-
Marekani na nchi tatu za Ulaya zimeuaje Mkataba wa Cairo?
Nov 23, 2025 02:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameandika kwenye akaunti yake ya X kwamba: ""Mkataba wa Cairo" umeangamizwa na Marekani na nchi tatu za Ulaya."
-
Sababu za Ripota wa UN za kuonya kuhusu kuendelea Ulaya kuipa silaha Israel
Nov 22, 2025 02:24Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu kuendelea nchi za Ulaya kuisheheneza silaha Israel licha ya kwamba kuna ushahidi wa kutosha na usiopingika wa jinsi utawala wa Kizayuni unavyotumia silaha hizo kufanya jinai na mauaji ya umati dhidi ya watu wasio na hatia.
-
Kilichopelekea maandamano ya kuipinga Israel katika nchi za Ulaya kugeuka kuwa vuguvugu kubwa la umma barani humo
Oct 07, 2025 04:32Maandamano makubwa ya wananchi wa mataifa ya Ulaya dhidi ya sera za utawala wa kizayuni wa Israel huko Ghaza yangali yanaendelea.
-
Kukaribisha madola ya Ulaya jibu la HAMAS kwa mpango wa Trump; nini sababu zake?
Oct 06, 2025 02:18Katika hatua iliyoratibiwa, viongozi wa nchi kubwa za Ulaya wamekaribisha jibu la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) kwa mpango wa Trump kuhusu Gaza.