Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Kuanza kupelekwa barani Ulaya huduma za nishati za Iran

    Kuanza kupelekwa barani Ulaya huduma za nishati za Iran

    Jan 18, 2022 04:38

    Kufuatia kutiwa saini hati ya mapatano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Romania kwa ajili ya kupelekwa nchini humo huduma za kiufundi za Iran katika sekta ya gesi, kwa mara ya kwanza Iran imejiunga na nchi zinazouza barani Ulaya huduma za nishati.

  • Poland yaonya: Ulaya ipo katika ncha ya kutumbukia vitani

    Poland yaonya: Ulaya ipo katika ncha ya kutumbukia vitani

    Jan 13, 2022 23:37

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland ametahadharisha kuwa, bara Ulaya lipo katika hatari kubwa ya kutumbukia kwenye vita wakati huu, kuliko ilivyokuwa miongo mitatu iliyopita.

  • Barua za chuki dhidi ya Uislamu zasambazwa misikitini Uholanzi

    Barua za chuki dhidi ya Uislamu zasambazwa misikitini Uholanzi

    Jan 04, 2022 04:29

    Wakfu wa Dini Uholanzi umelaani vikali kitendo cha kusambazwa barua zenye jumbe za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika misikiti kadhaa ya nchi hiyo ya Ulaya.

  • Russia yasimamisha kwa muda uwekaji mitambo ya makombora barani Ulaya

    Russia yasimamisha kwa muda uwekaji mitambo ya makombora barani Ulaya

    Dec 14, 2021 08:56

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi hiyo imeamua kusimamisha kwa muda mpango wa kuweka mitambo yake ya makombora katika bara la Ulaya.

  • WHO: Huenda watu laki 5 zaidi watakufa kwa Corona Ulaya

    WHO: Huenda watu laki 5 zaidi watakufa kwa Corona Ulaya

    Nov 21, 2021 07:26

    Shirika la Afya Dunia (WHO) limetahadharisha kuwa, yumkini watu laki tano wakapoteza maisha katika nchi za Ulaya kutokana na ugonjwa wa COVID-19 kufikia mwezi Machi mwaka ujao, iwapo hatua za dharura hazitachukuliwa.

  • WHO: Kesi za Corona zinapungua kila sehemu isipokuwa Ulaya

    WHO: Kesi za Corona zinapungua kila sehemu isipokuwa Ulaya

    Nov 10, 2021 10:53

    Shirika la Afya Dunia (WHO) limeripoti kuwa, vifo vya ugonjwa wa COVID-19 vimeongezeka kwa asilimia 10 barani Ulaya katika kipindi cha wiki moja iliyopita, na kulifanya bara hilo kuwa eneo pekee duniani ambako vifo na maambukizi ya Corona yameongezeka kwa kiwango cha kutisha.

  • Taliban yazionya Marekani na nchi za Ulaya dhidi ya kuidhoofisha serikali yake

    Taliban yazionya Marekani na nchi za Ulaya dhidi ya kuidhoofisha serikali yake

    Oct 13, 2021 04:09

    Msimamizi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan amezitahadharisha tawala za Magharibi juu ya hatua yoyote ya kuudhoofisha utawala mpya ulioundwa na kundi hilo.

  • Hali mbaya ya wakimbizi wa Afghanistan nchini Marekani na Ulaya

    Hali mbaya ya wakimbizi wa Afghanistan nchini Marekani na Ulaya

    Oct 11, 2021 06:17

    Kufuatia matukio ya kisiasa huko Afghanistan na Taliban kudhibiti hali ya mambo nchini humo, maelfu ya raia wa nchi hiyo waliamua kukimbilia Marekani na nchi za Ulaya wakidhani kuwa wangepata usalama na maisha mazuri huko.

  • Washington: Kwa sasa Russia ni tishio kubwa zaidi kwa Marekani kuliko China

    Washington: Kwa sasa Russia ni tishio kubwa zaidi kwa Marekani kuliko China

    Sep 19, 2021 02:46

    Naibu Waziri wa Ulinzi wa Marekani amedai kwamba kwa sasa Russia ni tishio kubwa kwa usalama wa nchi hiyo na Ulaya kuliko China.

  • Gazeti la Russia: Iran imefelisha njama za Marekani katika Bodi ya Magavana ya IAEA

    Gazeti la Russia: Iran imefelisha njama za Marekani katika Bodi ya Magavana ya IAEA

    Sep 15, 2021 01:54

    Gazeti la Kommersant la Russia limeandika kuwa, Iran imefelisha njama za Marekani na waitifaki wake wa Ulaya za kutaka kutoa azimio dhidi ya Tehran katika kikao cha Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS