-
Kushadidi chuki dhidi ya Uislamu na kuenea vitendo vya utumiaji mabavu katika ulimwengu wa Magharibi
Sep 14, 2021 22:02Kuenea chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika ulimwengu wa Magharibi hivi sasa limegeuka na kuwa tatizo kubwa na la kijamii, tatizo ambalo limeibua na kushadidisha vitendo vya utumiaji mabavu katika jamii ya Magharibi.
-
EU yataja masharti ya kuwa na mawasiliano na Taliban
Sep 04, 2021 05:48Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amedai kuwa EU haitalitambua rasmi kundi la Taliban, na badala yake amelipa kundi hilo masharti matano ya kuweza kuwa na mawasiliano nalo, eti kwa maslahi ya wananchi wa Afghanistan.
-
WHO: COVID-19 kuua watu 236,000 zaidi Ulaya kufikia Disemba
Aug 31, 2021 09:14Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa, yumkini watu wengine 236,000 wakaaga dunia kutoka na maradhi ya COVID-19 barani Ulaya kufikia Disemba Mosi mwaka huu.
-
Idadi ya watu waliofariki katika mafuriko yaliyotokea Ulaya imefika 153
Jul 17, 2021 03:19Watu 153 wamefariki dunia hadi sasa kutokana na mafuriko yaliyotokana na mvua kali zilizonyesha magharibi na kaskazini mwa Ulaya na kusababisha mito kufurika na kingo zake kupasuka.
-
Mahakama ya Ulaya yakataa kusikiliza kesi ya mauaji ya Yassir Arafat
Jul 02, 2021 22:14Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya (ECHR) imetupilia mbali faili la kutaka kuchunguzwa upya kifo cha kutatanisha cha Yasser Arafat, Rais wa zamani wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
WHO: Maambukizi ya virusi vya corona barani Ulaya yameongezeka tena
Jul 01, 2021 21:59Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa maambukizi ya virusi vya corona barani Ulaya yameongezeka tena.
-
Uungaji mkono wa nchi za Ulaya kwa utawala wa Kizayuni, wapungua
Jun 10, 2021 02:21Jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni katika mashambulizi ya hivi karibuni kwenye Ukanda wa Ghaza huko Palestina zimepelekea kupungua uungaji mkono wa nchi za Ulaya kwa dola katili la Israel.
-
Mbunge wa Ulaya: Israel inafanya jinai kwa kuungwa mkono na Marekani na Ulaya
May 12, 2021 21:44Mbunge mmoja wa Ireland katika Bunge la Ulaya amesema kuwa mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhlumu na wasio na ulinzi wa Palestina ni mauaji ya kizazi na kwamba, jinai hizo zisingelifanywa na Wazayuni kama si uungaji mkono wa pande zote wa Marekani na Ulaya kwa Israel.
-
Mbunge wa Bunge la Ulaya: Tofauti na US, Iran iliisaidia Iraq kupambana na ISIS
Apr 21, 2021 02:59Mbunge wa kujitegemea wa Bunge la Ulaya (MEP) amesema kuibuka kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) nchini Iraq ni matokeo ya Marekani kuivamia nchi hiyo ya Kiarabu mwaka 2003; na kwamba kinyume na Marekani, Iran iliinyooshea Baghdad mkono wa msaada na uungaji mkono katika vita dhidi ya genge hilo la kitakfiri.
-
Kuendelea sera za ubaguzi wa rangi barani Ulaya na malalamiko ya wananchi
Apr 04, 2021 22:01Suala la Ubaguzi wa rangi limegeuka na kuwa tatizo kubwa kabisa kwa raia wa mataifa ya Ulaya.