Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Safari ya mawaziri watatu wa mambo ya nje wa Ulaya nchini Libya

    Safari ya mawaziri watatu wa mambo ya nje wa Ulaya nchini Libya

    Mar 26, 2021 22:00

    Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Ufaransa, Ujerumani na Italia Alkhamisi iliyopita walikwenda Tripoli mji mkuu wa Libya kwa shabaha ya kujadili mustakbali wa uhusiano wa nchi za Ulaya na Libya. Mawaziri hao pia wamesisitiza udharura wa kuondoka vikosi vya majeshi ya kigeni katika ardhi ya Libya.

  • Msemaji wa Ansarullah; vita vya Yemen ni soko la kuuzia silaha za Marekani na Ulaya

    Msemaji wa Ansarullah; vita vya Yemen ni soko la kuuzia silaha za Marekani na Ulaya

    Mar 25, 2021 03:30

    Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa vita vya Yemen ni soko la kuuzia silaha za kivita za Marekani na Ulaya.

  • Maandamano ya kupinga kufungwa nchi yafanyika katika nchi za Ulaya

    Maandamano ya kupinga kufungwa nchi yafanyika katika nchi za Ulaya

    Mar 21, 2021 04:10

    Maafisa wa polisi katika nchi kadhaa za Ulaya wamekosolewa kwa kutumia nguvu kupita kiasi kuzima maandamano ya wananchi wanaopinga maagizo mapya ya serikali za nchi hizo yaliyotangazwa kwa ajili kuzuia msambao wa wimbi la tatu la virusi vya Corona.

  • Nchi 6 za Ulaya zisimamisha matumizi ya chanjo ya AstraZeneca

    Nchi 6 za Ulaya zisimamisha matumizi ya chanjo ya AstraZeneca

    Mar 11, 2021 23:11

    Denmark imekuwa nchi ya sita ya Ulaya kusimamisha matumizi ya chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 ya AstraZeneca kutokana na madhara yake kwa damu za watu waliopigwa chanjo hiyo.

  • Kuanza kampeni kubwa ya vikwazo ya serikali ya Biden dhidi ya Russia

    Kuanza kampeni kubwa ya vikwazo ya serikali ya Biden dhidi ya Russia

    Mar 04, 2021 22:59

    Uhusiano wa Marekani na Russia katika serikali mpya ya Marekani na wakati huu wa uongozi wa Joe Biden umezidi kuwa mbaya. Serikali ya Biden mbali na kudhihirisha misimamo iliyodhidi ya Russia, hivi sasa imeanzisha kampeni kubwa ya vikwazo dhidi ya Moscow.

  • UN yazikosoa nchi za Ulaya kwa ukatili dhidi ya wahajiri

    UN yazikosoa nchi za Ulaya kwa ukatili dhidi ya wahajiri

    Feb 11, 2021 23:12

    Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limezitaka nchi za Ulaya zikomesha ukatikli dhidi ya wahamiaji.

  • Uamuzi wa Italia kupiga marufuku uuzaji wa silaha zake kwa muungano wa Saudia

    Uamuzi wa Italia kupiga marufuku uuzaji wa silaha zake kwa muungano wa Saudia

    Jan 31, 2021 23:09

    Muungano wa kivita wa Saudia unaendeleza vita vyake vya kichokozi dhidi ya watu wasio na hatua wa Yemen na hata katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 vita hivyo vinaendelea jambo ambalo limeibua malalamiko makali kutoka kwa mashirika ya kutetea haki za binadamu.

  • Russia yakaribisha pendekezo la Marekani la kurefusha muda wa Mkataba wa New Start

    Russia yakaribisha pendekezo la Marekani la kurefusha muda wa Mkataba wa New Start

    Jan 23, 2021 01:25

    Serikali ya Russia imeunga mkono pendekezo la Rais Joe Biden wa Marekani la kurefusha mkataba wa kupunguza silaha za kistratijia za nyuklia maarufu kwa jina la New START kwa miaka mitano.

  • Iran: Wanaozuia dawa kuwafikia watoto hawastahiki kudai kuwa watetezi wa haki za binadamu

    Iran: Wanaozuia dawa kuwafikia watoto hawastahiki kudai kuwa watetezi wa haki za binadamu

    Dec 19, 2020 01:46

    Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu na Mkuu wa Masuala ya Kimataifa katika Idara ya Mahakama ya Iran amesema: "Wale wanaowazuia watoto wasio na dhambi kupata dawa hawana ustahiki wa kuzungumzia hata haki za wanyama."

  • Kasi kubwa ya maambukizi ya COVID-19 yazusha taharuki barani Ulaya

    Kasi kubwa ya maambukizi ya COVID-19 yazusha taharuki barani Ulaya

    Nov 10, 2020 08:27

    Ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa COVID-19 barani Ulaya na uhaba wa vifaa vya kukabiliana na maambukizi vilimezidisha taharuki katika nchi za bara hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS