Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Iran: Wanaozuia dawa kuwafikia watoto hawastahiki kudai kuwa watetezi wa haki za binadamu

    Iran: Wanaozuia dawa kuwafikia watoto hawastahiki kudai kuwa watetezi wa haki za binadamu

    Dec 19, 2020 01:46

    Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu na Mkuu wa Masuala ya Kimataifa katika Idara ya Mahakama ya Iran amesema: "Wale wanaowazuia watoto wasio na dhambi kupata dawa hawana ustahiki wa kuzungumzia hata haki za wanyama."

  • Kasi kubwa ya maambukizi ya COVID-19 yazusha taharuki barani Ulaya

    Kasi kubwa ya maambukizi ya COVID-19 yazusha taharuki barani Ulaya

    Nov 10, 2020 08:27

    Ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa COVID-19 barani Ulaya na uhaba wa vifaa vya kukabiliana na maambukizi vilimezidisha taharuki katika nchi za bara hilo.

  • COVID-19 Ulaya: Sheria za udhibiti zaibua ghasia Uhispania, Uingereza yafungwa

    COVID-19 Ulaya: Sheria za udhibiti zaibua ghasia Uhispania, Uingereza yafungwa

    Nov 01, 2020 08:04

    Bara Ulaya sasa linakabiliana na wimbi la pili la maambukizi ya COVID-19 au corona huku hali ikitabiriwa kuendelea kuwa mbaya katika wiki kadhaa zijazo.

  • EuroMed Rights yakosoa chuki na uhasama Wa viongozi wa Ufaransa dhidi ya Waislamu

    EuroMed Rights yakosoa chuki na uhasama Wa viongozi wa Ufaransa dhidi ya Waislamu

    Oct 28, 2020 23:25

    Kituo cha Haki za Binadamu Ulaya na Mediterania (EuroMed Rights) kimeItaja hatua ya viongozi wa Ufaransa ya kueneza chuki na uhasama dhidi ya Waislamu kuwa ni hatari kubwa.

  • Watu wanaofariki dunia kwa Covid-19 barani Ulaya wanazidi kuongezeka

    Watu wanaofariki dunia kwa Covid-19 barani Ulaya wanazidi kuongezeka

    Oct 20, 2020 08:38

    Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na maambukizi ya virusi vya corona barani Ulaya imefika zaidi ya 250,000 licha ya kutekelezwa vizuizihatua mbalimbali za kudhibiti maambukizi.

  • Wimbi la maambukizo ya corona lazidi kuwa kubwa barani Ulaya

    Wimbi la maambukizo ya corona lazidi kuwa kubwa barani Ulaya

    Oct 05, 2020 04:34

    Nchi za Ulaya zimeamua kurejesha sheria kali za kukabiliana na maambukizi ya kirusi cha corona kutokana na wimbi la wagonjwa wa COVID-19 kuwa kubwa tena barani humo.

  • Shirika la kutetea haki za binadamu la Ulaya na Mediterania lakosoa jinai za utawala wa Kizayuni

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Ulaya na Mediterania lakosoa jinai za utawala wa Kizayuni

    Oct 02, 2020 00:12

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Ulaya na Mediterania (Euro-Med Human Rights Monitor) limekosoa jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel za kukiuka haki za binadamu za Wapalestina.

  • Save the Children yaikosoa Ulaya kwa kuwapuuza watoto wadogo wakimbizi

    Save the Children yaikosoa Ulaya kwa kuwapuuza watoto wadogo wakimbizi

    Sep 02, 2020 10:28

    Shirika la Save the Children limezikosoa nchi za Ulaya kutokana na zinavyowapuuza watoto wadogo wakimbizi.

  • Upinzani wa Marekani kwa azimio la Baraza la Usalama kuhusu matakfiri; kutengwa zaidi Washington

    Upinzani wa Marekani kwa azimio la Baraza la Usalama kuhusu matakfiri; kutengwa zaidi Washington

    Sep 01, 2020 22:12

    Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kuibuka na kuenea makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la kigaidi la Daesh tangu kuanza mgogoro nchini Syria mwaka 2011.

  • Iran: Magaidi wa MKO wanapewa hifadhi na US na EU licha ya kuua maelfu ya Wairani

    Iran: Magaidi wa MKO wanapewa hifadhi na US na EU licha ya kuua maelfu ya Wairani

    Aug 30, 2020 06:32

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema nchi za Ulaya na Marekani zinawapa hifadhi wanachama wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) licha ya genge hilo kuua kikatili maelfu ya Wairani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS