Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Netanyahu: Ni kweli Israel imehusika na njama za kuvuruga uhusiano wa Iran na EU

    Netanyahu: Ni kweli Israel imehusika na njama za kuvuruga uhusiano wa Iran na EU

    Nov 02, 2018 04:11

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, Tel Aviv imehusika katika wimbi la hivi karibuni la upotoshaji, hadaa na tuhuma za urongo zinazozushwa na baadhi ya nchi za Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Seneti ya Ufarasa: Ulaya inapasa kusimama imara kukabiliana na vikwazo dhidi ya Iran

    Seneti ya Ufarasa: Ulaya inapasa kusimama imara kukabiliana na vikwazo dhidi ya Iran

    Nov 01, 2018 04:36

    Kamisheni ya Masuala ya Ulaya katika Seneti ya Ufaransa imesema kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni mtihani mkubwa kwa nguvu ya kisheria na kiuchumi ya Ulaya na kusisitiza kuwa nchi za bara hilo zinapasa kukabiliana vilivyo na changamoto hiyo.

  • Ulaya yakerwa na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kulindwa mapatano ya JCPOA

    Ulaya yakerwa na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kulindwa mapatano ya JCPOA

    Oct 30, 2018 22:50

    Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akijaribu kuvuruga mapatano ya kimataifa yaliyofikiwa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kundi la 5+1 kwa kisingizio kuwa ni mapatano mabaya zaidi ya kimataifa kuwahi kufikiwa na Marekani.

  • Wanadiplomasia wa Ulaya: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vitadhoofisha sarafu ya Dola

    Wanadiplomasia wa Ulaya: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vitadhoofisha sarafu ya Dola

    Oct 29, 2018 10:19

    Wanadiplomasi kadhaa wa Ulaya wamesema kuwa, vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, vitapelekea kudhoofika kwa sarafu ya Dola ya nchi hiyo.

  • Trump azidi kupata pigo; Iran na Ulaya kufungua kanali maalumu ya mabadilishano ya fedha za kigeni

    Trump azidi kupata pigo; Iran na Ulaya kufungua kanali maalumu ya mabadilishano ya fedha za kigeni

    Oct 27, 2018 04:03

    Siasa za Marekani za kuiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimezidi kupata pigo baada ya nchi za Ulaya na Tehran kuamua kufungua kanali maalumu ya kifedha kwa ajili ya wasafirishaji nje bidhaa wa pande hizi mbili.

  • Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya: Kumvunjia heshima Mtume wa Uislamu si uhuru wa kujieleza

    Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya: Kumvunjia heshima Mtume wa Uislamu si uhuru wa kujieleza

    Oct 26, 2018 01:19

    Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya imehukumu kwamba, kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) si sehemu ya uhuru wa kujieleza.

  • Kushadidi radiamali za Ulaya dhidi ya jinai za Saudi Arabia

    Kushadidi radiamali za Ulaya dhidi ya jinai za Saudi Arabia

    Oct 22, 2018 23:33

    Utawala wa Saudi Arabia ambao daima umekuwa ukijifakharisha kuwa na uhusiano mzuri na madola ya Magharibi, filihali unakabiliwa na changamoto ambayo haijawahi kushuhudiwa katika uga wa kimataifa.

  • Kukataliwa na madola ya Magharibi simulizi za Saudia kuhusu hekaya ya mauaji ya Khashoggi

    Kukataliwa na madola ya Magharibi simulizi za Saudia kuhusu hekaya ya mauaji ya Khashoggi

    Oct 21, 2018 23:35

    Moja ya matukio makubwa zaidi ya ukiukaji haki za binadamu kuwahi kufanywa na utawala wa Aal Saud ni la mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji maarufu wa utawala huo wa kifalme yaliyotokea ndani ya ubalozi wake mdogo ulioko mjini Istanbul, Uturuki.

  • Rais Shein afungua maonyesho ya utalii Zanzibar ya mwaka 2018

    Rais Shein afungua maonyesho ya utalii Zanzibar ya mwaka 2018

    Oct 17, 2018 11:44

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa, maonyesho ya utalii yanayofanyika Zanzibar ni muhimu kwa Serikali na wananchi kwa kuwa yamelenga kuitangaza Zanzibar na sekta ya utalii ambayo ndio mhimili mkuu wa uchumi wa visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi.

  • Makumi ya wajahiri wahofiwa kufa maji pwani ya Uturuki

    Makumi ya wajahiri wahofiwa kufa maji pwani ya Uturuki

    Oct 10, 2018 10:49

    Makumi ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti yao kuzama katika pwani ya Uturuki ya Aegean.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS